Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

Mvua imezidi kuwa kubwa,
Zanzibar
Poleni sana mkuu.
Dar hali tete. Mvua inaendelea kujimwambafy mpaka dakika hii.

Ninachofahamu na elimu yangu ya kigagagigikoko ni kuwa, lile joto na fukuto kali wiki hii ilikuwa lazima upepo na mvua vije kupoozesha. Haya yanajiri kwa sababu SISI NA UTUNZAJI MAZINGIRA NI JAMBO GUMU. Mabadiliko ya hali ya hewa husababishwa na shughuli zetu wanadamu kwa kuongeza gesi ya ukaa na joto kupanda. Dunia ikipata mafua huwa inajitibu, sasa parasites ndo tunakufa balaa

Chukueni tahadhari na maji yanayotembea maana huko mpo baharini
 
Tokea saa 10 sijalala, radi kama zote

Bora mvua inyeshe tuchote maji ya mvua sababu Dawasco ni wiki ya 2 sasa wamegoma kufungua maji huku kwetu.
Majuzi wamenitishia wanakuja kukata majibnadaiwa, wakati wamesoma mita, na sms iliyonifikia ni ya kuhakiki reading zao wanazotuma kabla ya bill halisi kunifikia. Niliumia sana
 
Back
Top Bottom