HUNA FACTS WEWE HUYO MUMEO RUSSIA KAMA ANGEKUWA THE WAY YOU THINK LEO ANGEICHUKUA UKRAINE YOTE LAKINI TAFITA FACTS WARUSI WENGI MNO WAMELAMBA VIMBI MPAKA KAOMBA MSAADA WA 10000 NORTH KOREAN ARMYKapambania nini mkuu.
Kapambania nini mkuu, mauaji ya askari wa Ukraine one million plus and a few thousand Russia soldiers not forgetting 20 million + displaced Ukrainians?This stupid boy deserves scorning and shunning.To me Trump is doing the right thing.Viva Trump.
HACHA UBISHANI WA KIJINGA INAONEKA HUELEWI THE ROOT OF THE WAR WEWE UMESHOBISHWA PROPAGANDA ZA URUSIHapa issue sio umasikini,issue jamaa ni Mjinga Fulani hivi.
Misaada imempa kiburi akajiona star.
Hivi huyu anadhni ni yeye ndio alikua anapigana na Urusi?
Urusi ilikua inapigana na NATO indirect na NATO ni USA .
Hana uwezo anabishana na mfadhiri.
Angekua na akili angekubali yaishe.
Ukraine peke yake haiwezi kuishinda Urusi ajue hilo.
Yeah! Hiki ndio nimeona pia. Ni muda wa watu kupambana wenyewe,πππ yaani unaweza fikiri kama hichi kikao si cha marais ,ila kiukweli zelensky ni comedian lakini hata Trump naye kuna kitu hakipo sawa kuwa kiongozi wa taifa kubwa kama Marekani maana anachokifanya Trump ni kuonesha mataifa mengine kutoiamini Marekani katika jambo lolote.
Kajinga TU,kametaka kaonekane kwenye tv kama kajasiri.ZELENSKY. Kumbe kajeuriπ
Uko sahihi kabisa.Kapambania nini mkuu.
Kapambania nini mkuu, mauaji ya askari wa Ukraine one million plus and a few thousand Russia soldiers not forgetting 20 million + displaced Ukrainians?This stupid boy deserves scorning and shunning.To me Trump is doing the right thing.Viva Trump.
Zelensky chini ya Trump anapitia kipindi kigumu sana
Ni wazi wewe ndio hujui hata unaongea Nini.HACHA UBISHANI WA KIJINGA INAONEKA HUELEWI THE ROOT OF THE WAR WEWE UMESHOBISHWA PROPAGANDA ZA URUSI
,πππππππππππ€π€π€π€π€π€π€π€πππππππππUkraine haiwezi kushinda hiyo vita.
Mpaka kufikia hapa tokea vita ianze, imebebwa sana na Marekani.
Marekani akiamua kuchomoa msaada, yaliyomkuta Assad yatamkuta Zelenskyy.
Bora kuliko kusign mkataba wa kimaamumaHaya! Marekani imesimamisha misaada ya kurejesha miundombinu ya umeme nchini Ukraine ambayo mara kwa mara imekuwa ikishambuliwa na Russia.
Kumbe hata miundombinu ya umeme anapokea msaada, nchi haina hela.
Wajiandae kulala gizani na wajiandae nchi kumegwa zaidi.
Kesho tutarajie nini? Elon Musk kuzima satellite yake ambayo inamsaidia Ukraine kwenye radio za mawasiloano, satellite surveillance, drones na electronics warfare system?
Kweli Hii labda inaweza kusaidia.Netanyau awapatanishe
Ajabu.Hapo ndio pa kushangaza sasaAkili hana
Nani anampa jeuri hii, anajiamini kupitiliza while he got nothing
Yule ni mnyonge TU,Sasa ana Nini?Yes amna kuwa mnyonge
Kwa iyo wamempa kigezo cha kusaini mkataba ndo waendelee kumsaidia?
Dogo kachomoa?
Nje ya mada: Dressing code ya Zele wenda nayo imechochea the so called "Disrespectful" π
Kayakosa?Kwahiyo US kayakosa hayo madini aliyohitaji kutoka Ukraine