Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

Hakuna namna Ridhiwani anaweza kuja kuwa Rais wa Tanzania. Mzee Kikwete hana tena ushawishi ndani ya awamu ya sita.

Samia anapambana kwa nguvu kubwa akiifanya michakato migumu yeye mwenyewe. Ule mradi wa DP World bandarini hauna mkono wa JK. Mradi wa LNG unaopambaniwa kwa sasa hauna kabisa uhusika wa Kikwete.

Kabakia kuhudhuria shughuli za kiserikali akiwa na kofia ya Rais Mstaafu pekee.

Rais ajaye Tanzania hatakuwa mkatoliki atatoka katika madhehebu mengine, kina Lutheran, Anglikana na Assembly Of God na madhehebu mengine ya aina hiyo. Makamu wake atatoka visiwani anaweza kuwa muislam.
 
Tusubiri tuone
 
Je kutokana na Team Msoga pamoja na kizimkazi kuwa kina kirefu watu wa EN wamejipa kiasi gani kumlinda kwa maeneo yote?
Maana yeye si sehemu ya hizi team hizi mbili na bila shaka wanatamani hata nafasi ya EN iwe chini yao
 
Kutunga jambo si sawa,mimi ninafahamu tena kwa undani kabisa,rizwani hatagombea urais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…