Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

Wapandikiza chuki breki zimekatika
 
Huwenda ikawa hivyo, lakini mimi naamini bado anaitaka Iringa.
Yule mama kichwa kibovu , atakubali kuachia nafasi democratically ?
Kwenye hiyo hatua ya mchujo ndani ya chama hawa jamaa huwa wanafanyiana umafia wa kufa mtu, hadi bahari ije kutulia wengine inakuwa tumesha wa RIP.
 
pumbavu wewe hapa unafanya nini, toka JF kwa vile wewe si bingwa wa ku type. Pumbavu kabisa naku block takataka
Ulizaliwa Gest Gani wewe 🤣🤣😁Sasa ukiniblock Mimi inanihusu nini.


Kama kuna sehemu ukibonyeza usinione bonyeza GZ nin wewe🚮
 
Zama za uchifu zilikwisha, kwanza ni vizuri akija mwanaume kijana wa kutokea kaskazini wa dini Ile hakika ni zamu yao Sasa, halafu ndo bado 2025 hivi tumekuwaje kujadili mambo ya mbele kama vile tuna mkataba wa kuishi na Allah SW, hao wote wawili tupa kule, wakaongoze familia zao
 
Acha hasira
 
JG inasemwa yupo ubalozi wa marekani dar es salaam ndipo anahifadhiwa.
 
Hiyo ndo njia ya kulikomboa Taifa tuanze Upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…