Mwabukusi, Lissu, Nshalla na Mbowe mmetuharibia mjadala wa Bandari

Aisee
 
Umejibu maswali yenye utata waliyoyaiba kutokana na mkataba huo.Watanzania wengi Sasa wamesoma.
 
Hebu kamwone daktari wa afya ya akili kwanzaa..
 
acha ujinga, wazanzibar sasa wana haki gani kwenye mali za Tanganyika? wewe una haki gani kwenye mali za zanzibar?
 
Mkuu una point muhimu. Lakini sababu ufanisi ni mdogo tusiuze kila kitu.

Mimi ni mdau mkubwa wa kuleta macontaina Tanzania.
 
Bungeni kwenyewe hakukuwa na mjadara. Kamati Kuu na Halimashauri Kuu CCM hakukuwa na mjadala. Hivyo, usiwadanganye watu kuwa kutakuwa na mjadala huku mtaani.
 
Suluhisho ni kutafuta mwanasheria akupe shule ya vifungu vilivyomo kuliko kufuata mkumbo wa kupinga kitu unachokijua labda nusu au robo tu.
Nimeuliza, huko unakosema Wana mkataba kama huu? Kwahio wewe unamuamini Msukuma kuliko Shivji au Lissu? Uko okay upstairs KWELI?
 
Kama huna hoja nawe unyamazage. Wenye akili zao wasije tambua idadi ya ujinga na mauwongo uliyoyabeba
 
Nimeuliza, huko unakosema Wana mkataba kama huu? Kwahio wewe unamuamini Msukuma kuliko Shivji au Lissu? Uko okay upstairs KWELI?
Shivji aliingiza siasa akitaka eti asiwaudhi wazalendo. Akaja na tafsiri ya mkataba wa jumla uliokwenda bungeni akisahau kuwa uendeshaji utategemea mikataba ya kibiashara inayokwenda kusainiwa baadae.

Akaongelea mambo ya finance wakati hayo ni ya kujadiliwa katika uandishi wa mikataba ya kibiashara.
 
CCM mmajitoa akili sana na kujiona nyie ndio Kila kitu
 
Chadema fyuzi zimetenguka hawana sera hawana ilani kazi porojo tu
 
Wewe ndio umeishiwa, unaanza kutoa mapovu.
Unatoa shutuma wakina slaa wanatumika na nani, husemi huna evidence to back up your claims, nimekuona boya mwenye inferiority complex unayeona watu wa nje ndio wana function better, wamchukue na mkeo basi fala we!
 
Unatoa shutuma wakina slaa wanatumika na nani, husemi huna evidence to back up your claims, nimekuona boya mwenye inferiority complex unayeona watu wa nje ndio wana function better, wamchukue na mkeo basi fala we!
Huwezi kuweka ushahidi kwenye jukwaa la watu wote kama hili. Ukiwa na umri fulani utaelewa kwa kina nini ninaongelea ukiwa sehemu ya hawa maziwa mdomoni watoto wa smartphone huwezi kuelewa ninachokiongelea.
 
Hakuna kilichoharibika akili yako ndio inaelekea kuharibika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…