Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

Mapolisi hawajatoa sababu za MSINGI za kuyazuia Maandamano ya AMANI.
 

"...OCD ni Mtu mdogo sana, huwezi kutuvunja Miguu..."

:Mdude Nyagali
 
mdudu na mwambulukusu wamechaguwa tarehe ya kumbukumbu cha kilio walicholizwa USA.
 
Sio jambo la Busara kuwatishia kuwavunja Miguu Watanzania wanaotaka kuandamana kwa Amani.

Hajui mabosi wake ni sisi. Tukisha kamata nchi. Chawa wote hawa itakuwa ni mwendo wa ku sukumia nani:

 
Yaani walikamatwa ili wapewe barua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…