saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
umenena mkuu, Mdude anasema OCD ni kajitu kadogo sana kwake, sijui hata km anaelewa kirefu cha OCD. Kiongozi wa wilaya ni mtu mdogo sana? Mama si aachie kidogo wanaume wafanye kazi tujue km hao watu ni wazima au wanaumwa.Tunaomba aliyemuwekea lenzi mwambuzi aiondoe, maana inamkuza sura anajiona kama tembo
kwa hiyo nyie malofa mnatafuta uhuru? Kweli mpumbavu hawezi k,ujitambua, basi jitoseni mfe hao mnaowapigania wapate huo uhuru mnaoutafuta.Tulieni Kwa kutulia. Uhuru wa nchi hii damu za kina Mkwawa, Kinjekitile, nk zilimwagwa na wakoloni.
View attachment 2803151
Mkoloni ni mkoloni tu hata kama ni mweusi!
huyo mwenye mishono mwili mzima? ameshasahu alivyokuwa analia baada ya kukaa siku 5 tu selo. Ingekuwa km kina Lema waliokaa miezi km siyo miaka? Huyo wanamdekeza na amshukuru mama SamiaMwabukusi kama ni kisiki, wanakiita cha mpingo!
Ahsante!Mwambuzi ni tofali la barafu, subiri joto lianze kama utaliona, hata wanaomzunguka, hawajui kama wamepangishwa nyumba iliyojengwa kwa tofali za barafu
SEMA NYIE WEHU, wananchi hawana huo upumbavuMwabukusi ni mratibu tu. Waandamanaji ni wananchi. Wewe kama haikuhusu makasiriko yote ya nini ndugu?
Leo kama SAUTI YA WATANZANIA ingepanga kuandamana KUMPONGEZA RAISI sijui kama OCD angemwaga Povu lote hilo.Lakini je hata kuandamana kwa amani?
Leo ndo nimejiridhisha we mjinga ni Mwabukusi.Huu ni mrejesho wa yenye kujiri:
(a) Kuhusiana na ukimya Mwakaleli, Mbeya:
1. Kulipita tafrani hadi kuhitaji usaidizi tokea ofisi kubwa:
"Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama"
2. Heshima kwenu sana waheshimiwa Freeman Aikael Mbowe na Tundu Antipas Lissu.
3. Wajumbe Mbeya ni wanachama wa vyama hivi hivi, kulikoni mtafaruku majiani?
(b) Kuhusiana na maandamano ya amani 9/11:
1. Waratibu walikamatwa na polisi.
2. Lengo likiielezwa kuwa ni kuwajabidhi barua kusitishwa kwa maandamano haya.
3. Rufaa husika imekwisha wasilishwa kwa mujibu wa sheria.
4. Maandamano ni 9/11 kama yalivyopangwa.
5. Ikumbukwe:
a) Kuandamana ni haki ya wananchi kikatiba
b} Mamlaka ina wajibu wa kuiheshimu katiba
c) Mahakama ina wajibu wa kuhakikisha haki Ina tamalaki.
d) Wananchi tuna haki ya kuilinda katiba.
6. Historia itakuwapo kutuhukumu.
Aluta continua!
7. Hapa chini panajieleza:
View attachment 2803139
View attachment 2803140
Wewe hoja zako nini kama huna kaa kimya?Leo ndo nimejiridhisha we mjinga ni Mwabukusi.
Wewe shida yako nini? Unanipangia nini cha kufanya hapa JF?Wewe hoja zako nini kama huna kaa kimya?
Shingo haipiti kichwaHuu ni mrejesho wa yenye kujiri:
(a) Kuhusiana na ukimya Mwakaleli, Mbeya:
1. Kulipita tafrani hadi kuhitaji usaidizi tokea ofisi kubwa:
"Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama"
2. Heshima kwenu sana waheshimiwa Freeman Aikael Mbowe na Tundu Antipas Lissu.
3. Wajumbe Mbeya ni wanachama wa vyama hivi hivi, kulikoni mtafaruku majiani?
(b) Kuhusiana na maandamano ya amani 9/11:
1. Waratibu walikamatwa na polisi.
2. Lengo likiielezwa kuwa ni kuwajabidhi barua kusitishwa kwa maandamano haya.
3. Rufaa husika imekwisha wasilishwa kwa mujibu wa sheria.
4. Maandamano ni 9/11 kama yalivyopangwa.
5. Ikumbukwe:
a) Kuandamana ni haki ya wananchi kikatiba
b} Mamlaka ina wajibu wa kuiheshimu katiba
c) Mahakama ina wajibu wa kuhakikisha haki Ina tamalaki.
d) Wananchi tuna haki ya kuilinda katiba.
6. Historia itakuwapo kutuhukumu.
Aluta continua!
7. Hapa chini panajieleza:
View attachment 2803139
View attachment 2803140
Nyigu😀 not Nyugwi!!View attachment 2804733
"SUMU YA NYUGWI"
Wasanii wa aina yake akina mduduMaandamano ni tarehe 9, iweje police waandamane tarehe 4?
Wanajisahau sana hao miungu watu!Sio jambo la Busara kuwatishia kuwavunja Miguu Watanzania wanaotaka kuandamana kwa Amani.
Bandari zetu ni muhimu kuliko vitisho vya kuvujwa miguu!!Sio jambo la Busara kuwatishia kuwavunja Miguu Watanzania wanaotaka kuandamana kwa Amani.
Bandari zetu ni muhimu kuliko vitisho vya kuvujwa miguu!!Sio jambo la Busara kuwatishia kuwavunja Miguu Watanzania wanaotaka kuandamana kwa Amani.