Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

Wanaotishwa ni wananchi waoga, Ili ikifika tarehe 9, Mdude na Mwambukusi wawe na watu Wachache.

Simba na Yanga wanaandamana na mabango ya kisiasa hawabughudiwi,

Kudai bandari zetu ndo iwe nongwa!!

Aluta continua.
 
Hawanazo magereza za kutuweka wote. Kwa kosa lipi?
Najiuliza kama ni Viongozi wa SAUTI YA WATANZANIA ndio wangetishia kumvunja Mguu OCD wa Mbeya sijui ingelikuwaje?

Natafakari tuπŸ€”
 
Harakati za chama kipya mmefikia wapi?
Umma wa Watanganyika unajitosheleza,

Nani alikudanganya Ili kuikomboa nchi Hadi usajili chama?

Matching guys Wana chama Cha siasa?

Wakulima Wana chama Cha siasa?

Wafanyabiashara, wavuvi, nk nk nk vp?
 
Unaonyesha kuwa una makasiriko sana ndugu. Kwani wewe hutaki katiba mpya au ni dalali wa DP World?
Hizo njamq zenu dhidi ya CHADEMA hazitokaa zifanikiwe!
 
Umma wa Watanganyika unajitosheleza,

Nani alikudanganya Ili kuikomboa nchi Hadi usajili chama?

Matching guys Wana chama Cha siasa?

Wakulima Wana chama Cha siasa?

Wafanyabiashara, wavuvi, nk nk nk vp?

Akikuelewa usiache kutuletea mrejesho. Tuko paleee..ee πŸ‘‰!
 
Muda wowote kuanzia sasa nitaweka hapa Ratiba na Ruti ya Maandamano halali ya amani , yaliyoandaliwa na Wazalendo kupinga Mkataba wa kudhalilisha Nchi wa Bandari za Tanganyika .

Tayari Polisi walishapelekewa Taarifa , kwa ajili ya kuimarisha ulinzi tu na si vinginevyo .

Usiondoke JF Kwa Taarifa za Uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…