MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
IT was a call to the system that the guy is corrupt
Jirani nakuheshimu sana ujue maziwa ni kwaajir ya mtotohapo shida iko wapi? kumbuka kuwa wamasai wana ng'ombe wengi.na inategemea na hulka ya mtu.mimi hapa nina jirani ana ghorofa.mimi nyumba ya kawaida kabisa.but MUNGU amenijaria kufungua ng'ombe . huyu jirani yangu huwa ananunua nusu ya lita ya maziwa kwangu.sasa kuwa nacheka sana.mimi mwenye kipato cha chini nakunywaga lita nzima ya maziwa ,tajiri anakunywa nusu lita .hahahaha.so staili ya mtu inamtuma kuishi anavyotaka.
Hapana alienda Uk 14 January 1983Safari ilikuwa january,chuo alieda april
Moja ya hoja za Nyerere wakati anakata jina lake enzi hizo kwenye NEC ni kuhusu utajiri wa Lowasa ambao aliutilia shaka.Rich wapi kazaliwa familia fukara kama mimi na wewe
Mkuu kuna watu wana hoja za kindezi sana hahahaaaa.. Huyo jamaa alikuwa very rich na ndiyo sababu ya Nyerere kusema hafai kuwa rais.Masai wa miaka ile auze mifugo anunue suti,?unadhani Sokoine hakuwa na ngombe kwao?
Alimkata jina lake kwenye kugombea urais. Akakasirika kweli kweli, akaenda kumueleza mzee Warioba. Warioba baada ya kumsikiliza akamshauri akamuone Nyerere mwenyewe, na jamaa alivyokuwa courageous akaenda kumuona Nyerere [emoji23] [emoji23]
Nyerere hakumtandika bakora?Maana nasikia enzi hizo ilikuwa Illigal mtu kuwa Tajiri kwa uzito uleule kihalali au kiharamu.
PoleniMwaka 1983, Lowassa akiwa na miaka 30 akiwa ofisa wa CCM, walikwenda UK kwa training, alinunua suti jozi 10 kwa mpigo, kumbuka kipindi hicho nchi ilikuwa na makovu ya vita ya Uganda, Nyerere akiwa Rais, Sokoine akiwa Waziri Mkuu walikuwa na viatu jozi mbili na suti jozi nne au tatu.
Tuliokuwepo miaka hiyo mtanielewa,wale wadogo zangu hamuwezi kuelewa,maisha ya 1973 yalikuwa mazuri kwa wananchi kuliko ya 1983,tulivaa midabwada ,viraka,mtu mzima matako nje....,sigara,sabuni ,sukari,ungekamatwa navyo ni jela miezi sita
Mwaka 1995 alikodi ndege kuzunguka nchi nzima kusaka wadhamini,nyerere akaona huyu dogo hatariAlimkata jina lake kwenye kugombea urais. Akakasirika kweli kweli, akaenda kumueleza mzee Warioba. Warioba baada ya kumsikiliza akamshauri akamuone Nyerere mwenyewe, na jamaa alivyokuwa courageous akaenda kumuona Nyerere [emoji23] [emoji23]
Hivi unafahamu kwamba miaka hiyo watu walikuwa wanavaa makatambuga (viatu vya matairi) tena mijini? Vijijini watu walikuwa wanavaa mpaka magunia au sandarusi? Unga watu walikuwa wanakula unga wa Yanga uliokuwa umeletwa kwa msaada kutoka Marekani. Vijana wa kizazi kipya hamuwezi kuelewa haya kwa sababu hata kusoma historia hampendi.K
Kwa hio mpk kununua suti akina Nyerere walikua wanashangaa pesa katoa wapi?[emoji3][emoji3]
Ndio maana Taifa bado ni masikini mpk leo, Viongozi walikua wanashangaa suti enzi hizo,mawazo ya kimasikini sana
Mleta mada naye ni miongoni mwao watu wanaowaza maendeleo ya Tanzania, at the same time yuko busy kuhesabu nguo za watu.Kwanza mwaka 1983 Lowassa alikuwa Nje anachukua Master of Science in Developmental Study Chuo kikuu cha Bath U.k
Kama ulikuwepo 1983 utaelewa kuwa na suti 10 katikati ya watu waliovaa matambara,sio kwamba nyerere na sokoine hawakuwa na hela za kununua sutiMleta mada naye ni miongoni mwao watu wanaowaza maendeleo ya Tanzania, at the same time yuko busy kuhesabu nguo za watu.
Vijana wakivaa tshirt na jeans hawajui baba zao tulivvaa kaniki,hata sabuni kuipata ni anasa,Hivi unafahamu kwamba miaka hiyo watu walikuwa wanavaa makatambuga (viatu vya matairi) tena mijini? Vijijini watu walikuwa wanavaa mpaka magunia au sandarusi? Unga watu walikuwa wanakula unga wa Yanga uliokuwa umeletwa kwa msaada kutoka Marekani. Vijana wa kizazi kipya hamuwezi kuelewa haya kwa sababu hata kusoma historia hampendi.
Kwa hiyo hizo suti alizonunua kwa hela ya wizi??Kama ulikuwepo 1983 utaelewa kuwa na suti 10 katikati ya watu waliovaa matambara,sio kwamba nyerere na sokoine hawakuwa na hela za kununua suti
Ngoja tuzike kwanza nikuletee umafia wa huyu mzee,hata kama ingekuwani kwa hela zake hiyo miaka hata Rais aliona aibu kuvaa nguo za gharama huku wananchi wamevaa lubega za kaniki,kama ulikuwepo utakuwa unanielewaKwa hiyo hizo suti alizonunua kwa hela ya wizi??
Kwa hio walipoenda Uingereza Nyerere na Sokoine walikua wamevaa makatambula na sandarusi?mpk wamshangae mwenzao kununua suti liwe jambo kubwa mpk kufikiria ni fisadi?Hivi unafahamu kwamba miaka hiyo watu walikuwa wanavaa makatambuga (viatu vya matairi) tena mijini? Vijijini watu walikuwa wanavaa mpaka magunia au sandarusi? Unga watu walikuwa wanakula unga wa Yanga uliokuwa umeletwa kwa msaada kutoka Marekani. Vijana wa kizazi kipya hamuwezi kuelewa haya kwa sababu hata kusoma historia hampendi.