Mwaka 2015 ilikuwa UKAWA vs MAGUFULI, mwaka 2025 itakuwa CCM vs Wananchi na kivuli cha Magufuli

Ulimkubali wewe peke yako, usiwasemee wengine. Waache waje wenyewe waanfike hapa
 
Pimbi ni ww unaenunua mafuta ya kupikia elfu 7 kwa lita.. nyang'au mkubwaa..na bado chamoto utakiona mana unaonekana huna hata hela ya kununua boxer
Akili yako imekaaa kijikoni tu na unawaza mambo ya jikoni. wewe jailos mrisho kama huna boxer wewe shauri yako
 
Lakini pia kundi la watu wa kawaida walikuwa wanafurah sana mtu akitumbuliwa na pengine bila sababu ya msingi,wakati huohuo kundi hilo lilikuwa haliwezi kupata nafasi hiyo.Yaani maskini anafurahi tajir akifirisika....
 
Wananchi wepi. Achani hayo
 
Mitandao yenyewe wanao mponda nihumu JF pekeake ambapo mtu anaweza kurudia rudia comments kwa ID zake feki.
 
Watawala wajiepushe na Kumponda Magufuli mana aliyoyafanya hayahitaji Maelezo mengi bali yalionekana Physically sasa Hawa watu huenda wakajikuta kwenye wakati Mgumu sana 2025, Nguvu ya umma sio ya kubeza hata kidogo

Angekuwa amefanya makubwa hivyo asingenajisi uchaguzi wa 2020. Yeye mwenyewe akiwa hai ilibidi anajisi uchaguzi. Kama alikuwa anakubalika hivyo huko mtaani angeheshimu box la kura.
 
Mtandaoni kweli Magu hafai ila simply mtaani huwambii kitu juu ya Magu . Reference ni nyingi kwa watu wa kawaida juu ya huyu Mwamba. Time will tell
 
Angekuwa amefanya makubwa hivyo asingenajisi uchaguzi wa 2020. Yeye mwenyewe akiwa hai ilibidi anajisi uchaguzi. Kama alikuwa anakubalika hivyo huko mtaani angeheshimu box la kura.
Dogo tindo acha kulalama
 
Mbona aliiba uchaguzi kama alikua anakubalika mtaani?!
 
Asingeharibu uchaguzi wa 2020 kama alikua anakubalika mtaani
 
Tatizo ni pale unapoona magufuli alikuwa tofauti na sisiem. Ukweli ulivyo, uchaguzi wa magufuli 2015 ilikuwa rahisi kuliko 2020. Uchaguzi wa 2020 ili ashindi ailimbdi aupore kwa nguvu. Sisiem ni njanga nchi hii.
 
[emoji2] [emoji2] Mkuu shida kubwa ni kwamba Watanzania ni wanafiki sana ukiwemo wewe. Hamiijawahi kuwepo kitu kinaitwa nguvu ya umma nchi hii
Watawala wajiepushe na Kumponda Magufuli maana aliyoyafanya hayahitaji Maelezo mengi bali yalionekana Physically sasa Hawa watu huenda wakajikuta kwenye wakati Mgumu sana 2025, Nguvu ya umma sio ya kubeza hata kidogo
 
Magufuli is no more, kuongelea mambo ya 2025 sasa hivi sio sahihi, kumbuka siasa hubadilika muda wowote na mpaka kufika mwaka huo mengi yatakuwa yameshatokea kubadili upepo.
 

Mkuu, na usisahau humu JF ni kama tawi dogo la Chadema ambapo kila kitu kihusucho mazuri ya JPM basi watapinga na kutukana

Ila kiuhalisia mtaani huko ni habari nyingne kabisa JPM ni Rais aliyetokea kukubalika sana nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…