Mwaka 2015 ilikuwa UKAWA vs MAGUFULI, mwaka 2025 itakuwa CCM vs Wananchi na kivuli cha Magufuli

Duh
 
Safi sana naona maumivu yameanz kuwaingia hapo team mwendazake. Mama Mnaye hadi 2035. Vumilieni
 
Hilo shetani lenu likitajwa kwa mabaya yake mnasema aachwe apumzike, hila nyie hamuishi kumtukuza
 
Yaani Hawa matahila huyo dikteta washamfanya Ni mungu Wao, wakati uchaguzi wa 2020 ulikuwa wa hovyo kabisa kwajili yake,

Samia Ni mpaka 2039
 
Unajua result ya mtu kuona ameprove failure dhidi ya aliyemtangulia na akiwa na uhakika hawezi mfikia kinachofuatia ni kujaribu ku polute akichokifanya . Hii scenario kwa sisi ma thinkers hatupati shida kabisa kuelewa ni nini kinatokea hivi. This woman has proved failure in her regime despite the fact that it's too early.
 
Mkuu lazima tuambiame ukweli.
Uchaguzi wa mwaka 2020 Magufuli alikuwa anakubalika Sana kwa wanainchi.
Tatizo lilikuwa kwa wabunge na wenyeviti wa mtaa na madiwani kwa ticket ya CCM,
Wengi waliwachokwa kutokana na kutokuwa na ushawishi mkubwa kwa wanainchi.

Ulikuwa ukikuta watu 10 ukawauliza kuhusu Magufuli,
Basi 7 watasema Ndiyo,
na 3 watasema Hapana.

Lakini kwa hali ilivyo sasa,
Katika wanainchi 10 ukiwauliza kuhusu uongozi uliopo madarakani , watu 3 watakwambiya Ndiyo na 7 watakwambiya Hapana.

Chama kimekosa ushawishi kwa wanainchi.
Kama uchaguzi ukiwa wa haki basi Kura za Hapana zitakuwa nyingi kwa Ccm kuliko Kura za Ndiyo.

Ndy sababu ya kuwarejesha Safu nzima ya kanali,pamoja na bao la mkono kundini.
Yote ni maandalizi ya uchaguzi wa figisu 2025.

Ni vile Tanzania hakuna upinzani wa kweli,
Lakini wapinzani kama wangekuwa na watu sahihi kuongoza hii inchi,
Nadhani 2025 ndy watapita kwa urahisi mno kuliko nyakati zozote ktk hii inchi..
 
Watawala wajiepushe na Kumponda Magufuli maana aliyoyafanya hayahitaji Maelezo mengi bali yalionekana Physically sasa Hawa watu huenda wakajikuta kwenye wakati Mgumu sana 2025, Nguvu ya umma sio ya kubeza hata kidogo
Ni kweli mkuu,,
Mimi mwaka 2020 nilitembea umbali mrefu Sana kwenda kumpigia Kura ya ndy Magufuli,

Kwa hali ilivyo sasa,,
ni Bora nimpigie kura Hashim Rungwe.
Kuliko kuipigia Kura CCM.

Tatizo ni kuendelea kumponda na kumsimanga mpendwa wetu Magufuli.
Wanainchi wengi tunakinyongo na haya yanayoendelea dhidi ya watu wanao mdhalilisha na kumdhihaki mwendazake.,tena hadharani.

Badala ya kupita njia zao,,
matokeo yake wanaendelea kuhangaika na kufuta na kuchafua aliyoyaacha Magufuli.
2025 Kura yangu ya Hapana itakuwa na maana Sana..

Inshaalah.
 
Rais pekee wa Tanzania ambae hakuwa anamtupia kejeli na vijembe mtangulizi wake ni Ndugu Ally Hassan Mwinyi

Pamoja na hilo utaratibu huu wa kumsema sema mtangulizi wake huwa unanikera sana

Ulinikera wakati Mkapa anamtupia madongo Mwinyi, wakati Jakaya anamtupia madongo Mkapa, wakati JPM anamtupia madongo Jk na wakati Samia anamtupia madongo JPM
 
Tofauti za uchaguzi uliomuingiza Mursi madarakani 2012 na ule uliomuingiza jiwe madarakani 2020 ni ardhi na mbingu. Ni mtu mjinga pekee anayeweza kufananisha hizo chaguzi mbili.
 
Bila tume huru ya uchaguzi hizo ni hadithi za paukwa pakawa tu.
 

Wananchi na kivuli cha Magufuli wana uwezo wa kuunda serikali.​

 
Magufuli hakunusuru Chama Bali Vyombo vya Dola.

Unatumia Dola kubaki madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…