Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

📌🔨
Mtu akikuomba chakula mpatie kama unacho, njaa ni kitu kibaya sana, heshimu fedha hata kama ni ndogo kiasi gani,. Mtu akikuomba msaada kama unaweza kumsaidia msaidie, USIMJUDGE, kama anadanganya hiyo ni juu yake.

Mfanye Mungu wako kuwa wa kwanza kwenye kila utendalo, INALIPA.

Watu wengi wako karibu na wewe kwa sababu kuna namna wanafaidishwa na vitu fulani kutoka kwako, vikiondoka HUTOWAONA, jipange kisaikolojia na wala ISIKUUMIZE.

Familia ni kila kitu kwenye maisha, Asante 2023.
 
Huu mwaka nimejifunza kutoa zaidi kwa wenye uhitaji kushiriki zaidi kwenye jamii.

Kuna jamaa alinikutaga ferry miaka mitatu nyuma alinikuta nakunywa kahawa na washkaji bondeni tunastorika akanichomoa mimi pekeyangu akasogeza pembeni na akanieleza kiume kakwama hana nauli katoka jela wiki moja iliopita na akapewa dili kimbiji kuna kazi kaenda kakosa kazi akarudi mpaka ferry kwa miguu na ukitizama mazingira yake kweli kachoka.
sikutoa neno mdomoni niliingia mfukoni na akilini nikasema hela yeyote kubwa inayopanda basi nitampa bila kupepesa macho.
Nilipanda na 5k na 10k nikampa 10k bila kusita alishukuru sana nikamwambia kwa utani watu kama nyie mnatusuaga maisha ukizipata usinisahau ukija ferry ulizia 92 utanipata basi jamaa akaniaga nikampa na 200 ya kuvukia akaondoka na mm nikabaki sikumuambia mtu lile swala, Mungu mkubwa jamaa mwaka huu juzi tu kaja na lx namba E aloo alivyovimba nilishamsahau, mwamba akaniita 92 nikamfuata akaniambia zama ndani kaka nikulipe fadhila. Sikuamini kama ni yeye nikaweka pikipiki yangu vizuri nikazama ndani akaniuliza wapi naweza kunywa beer nikaenjoy nikamuelekeza tukaenda tukakaa alifunguka mengi sana magumu aliopitia stori zake ziliniumiza roho sana ila zilinipa nguvu ya kuendelea kupambana jamaa alipiga vyombo mpka pakafungwa akaomba nimrudishe kwake hapo ndipo nilipochoka mwamba anaishi mashavuni balaa akanipa maokoto tukapeana shukrani nikajigeuza kurudi ferry, njiani nilikua nawaza ila nikabaki kusema Mungu mkubwa leo sio sawa na jana.

Kwenye swala la kushiriki kwenye jamii mtaani kwangu kulikua na msiba basi mambo hayakua safi sana nilipofika kutoa pole mama wa ile nyumba aliniomba kama mwanae nimkopeshe 100k sikuwa na hicho kiwango nikamuomba wife lakini wakati napeleka hiyo hela nikajifunza msibani pale mambo ni mbovu hakuna hata chai kumepoa nilijiskia vibaya sana nikatoa ile hela nikampa nikaondoka kwenda kutafta angalau vitu kadhaa nivipeleke watumie nina rafiki yangu kwao wanatoa sana wa wenye uhitaji nikamnyookea mzee wake nikamueleza mazingira na nn nimefanya mpaka muda huo akanielewa akachukua ndinga yake tukaingia duka la jumla ambalo ni lake akachukua mchele sukari majani unga wa ngano amira na mazaga ya kupikia tukaenda msibani akawapa pole tukarudi kwake yule mzee akanikalisha chini akanipa somo ambalo bila kishiriki kwenye jamii kamwe nisingelipata alimwaga madini kwangu mimi niliona ni maneno ya dhahabu, msiba ulipoisha yule mama alikuja kusema asante nilikua na wife mama yule alilia sana akijua mimi ndiye nimetoa yote yale alinishukuru na kuniachia maneno yenye baraka nilipata amani sana kujua nimesaidia penye uhitaji. 2023 nimejifunza jambo na halitofutika maishani mwangu
 
Wakuu,

Mwaka 2023 unakaribia kuisha, tumekutana na mambo mengi, ya kufunza, kukatisha tamaa, kutusogeza mbele ama kuturudisha nyuma, kutupa nguvu na kutufurahisha pia.

Katika mambo yote uliyokutana nayo, ni kipi kimekugusa sana kwa namna moja ama nyingine na kukufunza jambo?
Mafunzo makubwa ni kuwa duniani hamna haki.Waovu wanajivika wema,wanafiki wanajivisha utu wena,mafisadi wanajisafisha na kusafishwa kuwa safi.Wauaji wanajivisha daraja ya usuluhishi,Na watenda haki,watetea haki wa kweli wanavikwa ubaya ,Ilhali waovu wanapewa sifa.😫
 
....Kwamba ili niwe na nidhamu ya pesa, ni lazima nikope.
...Kwamba ili niongeze thamnai ya nilichonacho, lazima nikope.

So, nimekopa this Yr, kama mkopo utaniua basi, ila nnachojua umenifanya nizidishe ubahili.
 
Mtu akikuomba chakula mpatie kama unacho, njaa ni kitu kibaya sana, heshimu fedha hata kama ni ndogo kiasi gani,. Mtu akikuomba msaada kama unaweza kumsaidia msaidie, USIMJUDGE, kama anadanganya hiyo ni juu yake.

Mfanye Mungu wako kuwa wa kwanza kwenye kila utendalo, INALIPA.

Watu wengi wako karibu na wewe kwa sababu kuna namna wanafaidishwa na vitu fulani kutoka kwako, vikiondoka HUTOWAONA, jipange kisaikolojia na wala ISIKUUMIZE.

Familia ni kila kitu kwenye maisha, Asante 2023.
Wakuu,

Mwaka 2023 unakaribia kuisha, tumekutana na mambo mengi, ya kufunza, kukatisha tamaa, kutusogeza mbele ama kuturudisha nyuma, kutupa nguvu na kutufurahisha pia.

Katika mambo yote uliyokutana nayo, ni kipi kimekugusa sana kwa namna moja ama nyingine na kukufunza jambo?
Tunatakiwa kupunguza matarajio. YANAUA.
 
Mtu akikuomba chakula mpatie kama unacho, njaa ni kitu kibaya sana, heshimu fedha hata kama ni ndogo kiasi gani,. Mtu akikuomba msaada kama unaweza kumsaidia msaidie, USIMJUDGE, kama anadanganya hiyo ni juu yake.

Mfanye Mungu wako kuwa wa kwanza kwenye kila utendalo, INALIPA.

Watu wengi wako karibu na wewe kwa sababu kuna namna wanafaidishwa na vitu fulani kutoka kwako, vikiondoka HUTOWAONA, jipange kisaikolojia na wala ISIKUUMIZE.

Familia ni kila kitu kwenye maisha, Asante 2023.
Noted
 
Nimejifunza mtu yeyote anaekufanyia dhuluma usimuache hai sana sana maafisa wa TRA akikukosea jishushe kisha mpige kipapai cha fasta akidhani umenywea na kulegea wanazika unaendelea na maisha kiroho safi
Kweli kabisa mtu akikufanyia jambo ambalo linahatarisha uhai wako muwahi
 
Mtu akikuomba chakula mpatie kama unacho, njaa ni kitu kibaya sana, heshimu fedha hata kama ni ndogo kiasi gani,. Mtu akikuomba msaada kama unaweza kumsaidia msaidie, USIMJUDGE, kama anadanganya hiyo ni juu yake.

Mfanye Mungu wako kuwa wa kwanza kwenye kila utendalo, INALIPA.

Watu wengi wako karibu na wewe kwa sababu kuna namna wanafaidishwa na vitu fulani kutoka kwako, vikiondoka HUTOWAONA, jipange kisaikolojia na wala ISIKUUMIZE.

Familia ni kila kitu kwenye maisha, Asante 2023.
I wouldn't have said better than this!

SAHIHI kabisa!!!!
 
Back
Top Bottom