Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh! Nimekuibia maneno yako nini? Pole sana, wakati mwingine itakuwa ni zamu yako huwezi jua. LolAh jamaniiiiiiii! Vibaya hivi, mimi unategemea nifanye nini sasa?
Mtu akikuomba chakula mpatie kama unacho, njaa ni kitu kibaya sana, heshimu fedha hata kama ni ndogo kiasi gani,. Mtu akikuomba msaada kama unaweza kumsaidia msaidie, USIMJUDGE, kama anadanganya hiyo ni juu yake.
Mfanye Mungu wako kuwa wa kwanza kwenye kila utendalo, INALIPA.
Watu wengi wako karibu na wewe kwa sababu kuna namna wanafaidishwa na vitu fulani kutoka kwako, vikiondoka HUTOWAONA, jipange kisaikolojia na wala ISIKUUMIZE.
Familia ni kila kitu kwenye maisha, Asante 2023.
Mafunzo makubwa ni kuwa duniani hamna haki.Waovu wanajivika wema,wanafiki wanajivisha utu wena,mafisadi wanajisafisha na kusafishwa kuwa safi.Wauaji wanajivisha daraja ya usuluhishi,Na watenda haki,watetea haki wa kweli wanavikwa ubaya ,Ilhali waovu wanapewa sifa.😫Wakuu,
Mwaka 2023 unakaribia kuisha, tumekutana na mambo mengi, ya kufunza, kukatisha tamaa, kutusogeza mbele ama kuturudisha nyuma, kutupa nguvu na kutufurahisha pia.
Katika mambo yote uliyokutana nayo, ni kipi kimekugusa sana kwa namna moja ama nyingine na kukufunza jambo?
Unajua maisha yakibepari ni wewe unayaishi. Hata uko kwa mabepari kuna watu wana ubinadamu ijapokuwa wanaishi nchi zakibepari. Bill gates yeye anaishi ubeparini lakini ana ubinadamu.Ubinadamu kwenye ulimwengu wa kibepari? are you serious?.
Mtu akikuomba chakula mpatie kama unacho, njaa ni kitu kibaya sana, heshimu fedha hata kama ni ndogo kiasi gani,. Mtu akikuomba msaada kama unaweza kumsaidia msaidie, USIMJUDGE, kama anadanganya hiyo ni juu yake.
Mfanye Mungu wako kuwa wa kwanza kwenye kila utendalo, INALIPA.
Watu wengi wako karibu na wewe kwa sababu kuna namna wanafaidishwa na vitu fulani kutoka kwako, vikiondoka HUTOWAONA, jipange kisaikolojia na wala ISIKUUMIZE.
Familia ni kila kitu kwenye maisha, Asante 2023.
Tunatakiwa kupunguza matarajio. YANAUA.Wakuu,
Mwaka 2023 unakaribia kuisha, tumekutana na mambo mengi, ya kufunza, kukatisha tamaa, kutusogeza mbele ama kuturudisha nyuma, kutupa nguvu na kutufurahisha pia.
Katika mambo yote uliyokutana nayo, ni kipi kimekugusa sana kwa namna moja ama nyingine na kukufunza jambo?
Kwamba siku hizi wachawi sio wazee tenaMwaka huu nimekuja kugundua vijana wengi wanaroga sana! Vijana wanapiga ndumba balaa ili watoboe.!
NotedMtu akikuomba chakula mpatie kama unacho, njaa ni kitu kibaya sana, heshimu fedha hata kama ni ndogo kiasi gani,. Mtu akikuomba msaada kama unaweza kumsaidia msaidie, USIMJUDGE, kama anadanganya hiyo ni juu yake.
Mfanye Mungu wako kuwa wa kwanza kwenye kila utendalo, INALIPA.
Watu wengi wako karibu na wewe kwa sababu kuna namna wanafaidishwa na vitu fulani kutoka kwako, vikiondoka HUTOWAONA, jipange kisaikolojia na wala ISIKUUMIZE.
Familia ni kila kitu kwenye maisha, Asante 2023.
Kweli kabisa mtu akikufanyia jambo ambalo linahatarisha uhai wako muwahiNimejifunza mtu yeyote anaekufanyia dhuluma usimuache hai sana sana maafisa wa TRA akikukosea jishushe kisha mpige kipapai cha fasta akidhani umenywea na kulegea wanazika unaendelea na maisha kiroho safi
I wouldn't have said better than this!Mtu akikuomba chakula mpatie kama unacho, njaa ni kitu kibaya sana, heshimu fedha hata kama ni ndogo kiasi gani,. Mtu akikuomba msaada kama unaweza kumsaidia msaidie, USIMJUDGE, kama anadanganya hiyo ni juu yake.