Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

mie naangaliaga hizi post nawazaga sana kuhusu binadamu aliyezaliwa na binadamu mwenzie! nyie mnaoombea kwa kudanganya watu ili mpate hela mjenge mahekalu na starehe kibao wakati waumini wenu wanashinda njaa kwa kuamini mnawaombea utajiri mlaaniwe
 
Swali kabla hujaswaliwa
Nina hakika Mungu anatuangalia anatafakari kuna mahali alikosea kutuumba wa TZ, tuna unafiki mkubwa sana kuanzia makasisi na waumini.

Lakini ashukuriwe Mungu hajawahi kutenda kwa kufuata unafiki wetu
Wala hajawahi kumuacha mtu muovu astawi kwa kitambo sana
 
Nitakukumbuka rais wangu..
Nilikupigia kula mimi
Nilipenda biti zako
Nilipenda utani wako mf. Mpanuliwe wapi?😂😂
Muda wa kucheka tulicheka muda wa kazi ilikuwa kazi kweli.
Napenda na mimi siku 1 nije kuwa kama wewe tena zaidi ya wewe.

Ulikuwa na HURUMA ! Huruma! Tena Huruma ya kweli. Nakujua tangu ukiwa mbunge.

Chema hakidumu hakika chema hakidumu
Familia yako mola aendelee kuifanyia wepesi.
Daaaah....
 
Reactions: nao
Hizi dini zimeletwa na hawa wapuuzi wazungu na waarabu ni ujinga mtupu, zimeleta matatizo mengi duniani, hawa waroma ndiyo wahuni kabisa pambaf zao
 
Mbinu nzuri y akusaka sadaka na kuandaa mazingira ya sukuma gang mpya, yaani mtu Wala hakuwa wa Jimbo lake na hakuwahi kusali hapo, Bora ingeandaliwa Chato au Dsm ...ukabila tu
Roho mbaya inaua.
 
Yohana 20:30; 21:25
 
Hawawezi kukuelewa.
 
Tena umebold kabisa maneno “na baada ya kufa ni hukumu “ je hukumu hiyo haiwezi kua msamaha ? Ya kwamba mmempangia Mungu kuhukumu ni kutupa roho ya mfu jehanamu ?
Hawaelewi maana ya hukumu.
 
Mbona Magufuli ameajiri, au ulikuwa Tanzania ya wapi?
 
Mema yapi? Kutandika risasi wapinzani na kuwabambikia makesi ya hovyo? Alikuwa pandikizi aliyeletwa kuivuruga nchi, bahati nzuri aligundulika mapema
Chuki inakaribia kukufanya mchawi.
 
Daah, R.I.P rais wamfano wakuigwa tangia tupate uhuru.

Natamani ingefanyika dar hapa taifa nadhani mji ungesimama..

Hataukomwanza natabiri hapatatosha.
Dar es Salaam mafisadi wameshika hatamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…