Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
mie naangaliaga hizi post nawazaga sana kuhusu binadamu aliyezaliwa na binadamu mwenzie! nyie mnaoombea kwa kudanganya watu ili mpate hela mjenge mahekalu na starehe kibao wakati waumini wenu wanashinda njaa kwa kuamini mnawaombea utajiri mlaaniwekuombea/ibaza za wafu ni chukizo kwa Mungu. baada ya kifo ni hukumu, hata uombe namna gani mtu aliyekufa kama hakutengeneza maisha yake kabla ya kufa huwezi kumtakasa. acheni kupoteza watu, acheni ibada za wafu. kanisa katoliki lina imani ya kupeleka watu motoni moja kwa moja.