Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

kuombea/ibaza za wafu ni chukizo kwa Mungu. baada ya kifo ni hukumu, hata uombe namna gani mtu aliyekufa kama hakutengeneza maisha yake kabla ya kufa huwezi kumtakasa. acheni kupoteza watu, acheni ibada za wafu. kanisa katoliki lina imani ya kupeleka watu motoni moja kwa moja.
mie naangaliaga hizi post nawazaga sana kuhusu binadamu aliyezaliwa na binadamu mwenzie! nyie mnaoombea kwa kudanganya watu ili mpate hela mjenge mahekalu na starehe kibao wakati waumini wenu wanashinda njaa kwa kuamini mnawaombea utajiri mlaaniwe
 
Swali kabla hujaswaliwa
Nina hakika Mungu anatuangalia anatafakari kuna mahali alikosea kutuumba wa TZ, tuna unafiki mkubwa sana kuanzia makasisi na waumini.

Lakini ashukuriwe Mungu hajawahi kutenda kwa kufuata unafiki wetu
Wala hajawahi kumuacha mtu muovu astawi kwa kitambo sana
 
Nitakukumbuka rais wangu..
Nilikupigia kula mimi
Nilipenda biti zako
Nilipenda utani wako mf. Mpanuliwe wapi?😂😂
Muda wa kucheka tulicheka muda wa kazi ilikuwa kazi kweli.
Napenda na mimi siku 1 nije kuwa kama wewe tena zaidi ya wewe.

Ulikuwa na HURUMA ! Huruma! Tena Huruma ya kweli. Nakujua tangu ukiwa mbunge.

Chema hakidumu hakika chema hakidumu
Familia yako mola aendelee kuifanyia wepesi.
Daaaah....
 
  • Thanks
Reactions: nao
Ni kweli wema wake wa kutaka kumuua Tundu Lissu haufichiki.

Screenshot_20220312-092336_Chrome.jpg
 
Aliomba msamaha Lissu ?.
Aliomba msamaha aliowapora fedha ?.
Aliomba msamaha waTZ kwa kupora uchaguzi ?.
Aliomba msamahaa wazazi wa Ben ?.
Aliomba msamahaa waTZ kwa kuharibu uchumi ?.
Aliomba msamahaa waTZ kwa kuharibu mahusiano ya kimataifa hasa nchi jirani ?.

Hicho kiherehere cha Roman Catholic kinatoka wapi zaidi ya kudumaza waKristo kiimani na hata namna bora ya kutumia akili zao.

Kifupi hiyo misa ni chukizo mbele ya Mungu.
Hizi dini zimeletwa na hawa wapuuzi wazungu na waarabu ni ujinga mtupu, zimeleta matatizo mengi duniani, hawa waroma ndiyo wahuni kabisa pambaf zao
 
Mbinu nzuri y akusaka sadaka na kuandaa mazingira ya sukuma gang mpya, yaani mtu Wala hakuwa wa Jimbo lake na hakuwahi kusali hapo, Bora ingeandaliwa Chato au Dsm ...ukabila tu
Roho mbaya inaua.
 
Mimi naamini mafundisho yote aliyofundisha Yesu au mitume wake hayajandikwa kwenye biblia kwa sababu mbalimbali la sivyo biblia ingekuwa kubwa sana na isinge bebeka.

Na kwa sababu amri kuu kuliko zote ni upendo basi mtuache sisi wakatoloki tuoneshe upendo kwa marehemu wetu kwa kuwaombea wa Mungu mwenye huruma awasamehe wale wanaostaili msamaha wake, kwa kuwa hakuna sehemu kwenye bilblia imezuia waliokufa wasiombewe.
Yohana 20:30; 21:25
 
Don’t be naive ! Same should be expected wakaitwe akina TB Joshua, mama Rwakatare, Koffi Anan, Mandela ….. waamke waende kwao? Usidhani uwepo wa Roho Mtakatifu ni rahisi hivyo na utendaji kazi wake ni mwepesi hivyo ! Makanisa mengi sana ya kiroho ni fake na yamejaa [emoji624] drama!
Hawawezi kukuelewa.
 
Tena umebold kabisa maneno “na baada ya kufa ni hukumu “ je hukumu hiyo haiwezi kua msamaha ? Ya kwamba mmempangia Mungu kuhukumu ni kutupa roho ya mfu jehanamu ?
Hawaelewi maana ya hukumu.
 
Hastahili kuombewa kabisa, ni bora wakae kimya! Aliharibu uchumi na ndoto za watu, haiwezekani ukae miaka 5 bila kutoa ajira, kupandisha vyeo, kutoa annual increment, kupandisha mishahara huku kisingizio kikiwa kujenga SGR! Mbona Samia ndani ya mwaka anafanya vyote?
Mbona Magufuli ameajiri, au ulikuwa Tanzania ya wapi?
 
Mema yapi? Kutandika risasi wapinzani na kuwabambikia makesi ya hovyo? Alikuwa pandikizi aliyeletwa kuivuruga nchi, bahati nzuri aligundulika mapema
Chuki inakaribia kukufanya mchawi.
 
Daah, R.I.P rais wamfano wakuigwa tangia tupate uhuru.

Natamani ingefanyika dar hapa taifa nadhani mji ungesimama..

Hataukomwanza natabiri hapatatosha.
Dar es Salaam mafisadi wameshika hatamu.
 
Back
Top Bottom