Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Alikuwa MUONGO ,makampuni ya serikali TTCL/ATCL yalifannya sanaa za maonesho KUTOA GAWIO kwa serikali ,wakati yalikuwa yanajiendesha kea hasara.

Lengo ni kuwahadaa WATANZANIA wajinga ambao hawana CRITICAL mind.

Mwishoni ikabainika katika report ya CAG kuwa mashirika hayo ni Yalioparate kwa hasara.

Kifupi MAGUFULI ALIKUWA SAWASAWA NA (Mfalme JUHA)
Huna ulijualo.

ATCL imekuwa ikitengeneza faida. Ni vile ilirithi madeni makubwa na yenye riba zisizo rafiki yaliyosababishwa na serikali za hao ndugu zako unaowahusudu.

Kwahiyo faida ilikuwa na inaendelea kugharamia hayo madeni. Ukija kutafuta net profit ndio inaonekana ni hasara.

Lakini ATC ipo on fire. Na inakuja kwa kasi sana katika kutawala anga la Afrika Mashariki.
 
Chuki gani Chief? siwezi mchukia mtu ambaye tulishamshinda duniani na sasa anaoza, May be angekuwa hai
Ninaona unapambana na mfu na bado umemshindwa... Umeishia kwenye chuki tu.
 
Hicho kitendo alichofanya Mama alitafuta namna zote za kumtoa, akashindwa, akamtengenezea chuki kuu, hakutaka hata kuongea naye
Just Hahaha...

Magufuli atake kumtoa Samia ashindwe!

What a wishful thinking.
 
Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema katika adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea pumziko la milele mbinguni Hayati John Pombe Joseph Magufuli.

Mhu 9:5​

"Kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa."

Mnapoteza muda bure kumuombea mtu aliyekwisha kufa. maandiko matakatifu yanasema kuwa matendo ya mtu yataambatana naye. kama alitenda mema basi atalipwa kutokana na mema yake, na kama alitenda uovu basi ataopokea malipo ya uovu wake. Sala zetu hazisaidii ambao wamekwisha kufa. Tungeelekeza sala na maombi yetu kwa walio hai ili watubu na kuacha maovu badala ya kusubiri wafe ndipo tuanze maigizo ya kuwaombea
 
Just Hahaha...

Magufuli atake kumtoa Samia ashindwe!

What a wishful thinking.
Alishindwa, alipojaribu akawashiwa moto, kifo chake kimebebwa na roho yake mbaya, Moyo wake ulifika point ukasema nooo
 
mie naangaliaga hizi post nawazaga sana kuhusu binadamu aliyezaliwa na binadamu mwenzie! nyie mnaoombea kwa kudanganya watu ili mpate hela mjenge mahekalu na starehe kibao wakati waumini wenu wanashinda njaa kwa kuamini mnawaombea utajiri mlaaniwe
fortunately, I am not one of them. but still kuombea wafu au kuomba kwa wafu ni chukizo kwa Mungu. acheni.
 
Kuna tofauti kati ya onyo na hukumu.

Yesu aliwaonya, wewe umeshatuhukumu hatutaeda mbinguni.

Nikuulize tu, watu walioishi kabla ya Ulokole wataenda motoni au mbinguni?
Yesu aliposhuka kuzimu aliwahubiria hata hao. tunaamini huko huko walipokutana na Yesu waliomwamini waliokoka. and that was only an opportunity for those, sio hawa wanaokufa siku izi ili wasubirie mapadre wawaombee.

1Petro 3:19-20 19na kwa maisha yake ya kiroho alikwenda kuwahubiria wale roho waliokuwa kifungoni. 20Hao ndio wale waliokataa kumtii Mungu alipowangoja kwa saburi wakati Noa alipokuwa anatayarisha ile safina.
 
Common sense inatuambia kama kuna watu hawatasamehewa kwenye maisha yajayo maana yake wapo watakaosamehewa.
ninyi mnatumia common sense kutafsiri Biblia, sisi tuliookoka tunatumia Roho Mtakatifu ambaye ndiye mwandishi wa Biblia.
 
Back
Top Bottom