Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema katika adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea pumziko la milele mbinguni Hayati John Pombe Joseph Magufuli.

Misa hii takatifu itafanyika Jumapili ya Machi 20 katika viwanja vya madhabahu ya Bikira Maria Malkia wa Kawekamo kuanzia saa nne kamili asubuhi.

Aidha, Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande anatukumbusha kumuenzi Hayati Magufuli kwa kuwa Wazalendo wa kweli, kudumisha amani, undugu na maendeleo ya taifa kwa ujumla.

Hayati Magufuli apumzike kwa amani mbinguni.

View attachment 2147385
Pamoja na ukweli kwamba siamini katika adhimisho la ibada na mfu ama wafu, lakini natambua ya kwamba JPM alikuwa "benevolent" dikteta mwenye uthubutu wa kulinda rasilimali za nchi.

His missing gap is real clear now. Some of his actions were very awful indeed, but when it comes to his devotedly patriotism, it real sounds something real needed to be acknowledged.
 
Alilinda nini? Acheni ujinga nyinyi watu. Wewe utakuwa ni Machinga uliyeruhusiwa kuchafua miji. Angekuwa hivyo ulivyosema tungekuwa naye hadi leo
 
Yes! Mimi ni mmoja wa Machinga, hiyo ni sifa yangu wala sioni aibu ya kutambulika kupitia hadhi yenye sifa hiyo. Lakini tambua ukweli ya kwamba JPM alijipambanua yeye mwenyewe katika yale aliyoyaamini ya kuwa ni yenye tija kwa nchi yake.
 
Yesu aliteswa na kufa kwa ajili yakukomboa ulimwengu baada ya siku tatu akafufuka zile siku alienda kuwakomboa walioko toharani waliokufa na wanaopata mateso.lazima tumwombee mpendwa wetu aende kuume kwa Baba aminaaaa
Hawawezi kuelewa imani siyo yao.
 
Ingekuwa na maana gani kuishi maisha ya toba sasa? Yaani uue watu, uwafunge maiti kwenye viroba, utese watu... usitubu wakati uko hai, halafu ukifa ndugu zako wanakuombea unakuwa mtakatifu huko kifoni, unaepuka hukumu ya Mungu!!?? Nani angekwenda huko jehanamu sasa? Na maana ya kutubu na kuishi maisha ya Kristo wakati uko hai ingetoka wapi sasa!! Tumia ubongo wako vizuri (Ecclesiastes 9:5).
Tuwekee uthibitisho wa hizo tuhuma.
 
Pamoja na ukweli kwamba siamini katika adhimisho la ibada na mfu ama wafu, lakini natambua ya kwamba JPM alikuwa "benevolent" dikteta mwenye uthubutu wa kulinda rasilimali za nchi.

His missing gap is real clear now. Some of his actions were very awful indeed, but when it comes to his devotedly patriotism, it real sounds something real needed to be acknowledged.
He was never a dictator. He exercised his constitutional powers.
 
Nitahudhuria hiyo misa muhimu! Sisi wengine hatuishi nyakati, tunaishi tulichoamini na gharama zake. Rest in peace chuma JPM [emoji123]
Chances that Huyu Mzee yuko Motoni are very high
 
Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema katika adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea pumziko la milele mbinguni Hayati John Pombe Joseph Magufuli.

Misa hii takatifu itafanyika Jumapili ya Machi 20 katika viwanja vya madhabahu ya Bikira Maria Malkia wa Kawekamo kuanzia saa nne kamili asubuhi.

Aidha, Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande anatukumbusha kumuenzi Hayati Magufuli kwa kuwa Wazalendo wa kweli, kudumisha amani, undugu na maendeleo ya taifa kwa ujumla.

Hayati Magufuli apumzike kwa amani mbinguni.

View attachment 2147385
Jimboni kwake Lurenge Ngara wameona Haina Haja ya kuhangaika kumuombea Muuaji
 
Hilo jizi halistahili kuombewa, ni la kuchomwa moto wa milele! Alituletea wahuni akina Bashite, Sabaya na akawalinda kwa nguvu zote! akawafanyia unyama wapinzani as if siyo watanzania, hafai, hafai, na hastahili kuombewa
Unalaaana za kutoka wapi wewe?, unafikiri watanzania ni wajinga kama wewe uliyepewa kandarasi ya kuchafua,?
 
Jamaa lilikuwa la hovyo sana, ndiyo maana likaweka rekodi ya hovyo ya Rais kufia madarakani
Wewe unajua utafia wapi?, unazijua siku zako za kuishi hapa duniani,au hivyo visenti unavyolipwa kwa ajiri ya kununua vocha na vifurushi ndio vinakufanya uwe na kibuli?,
 
Nitakuja kwa maombi ya kushukuru utumishi wake aliojitolea mnoo.
 
Pole sana mkuu,
Unatakiwa ku-move on.

Karibu Jumapili ya tarehe 20 Machi tumuombee Rais wetu bora kabisa wa wakati wote pale Kawekamo, Mwanza.
Mwizi na muuaji wanaombewa tangu lini

Alietaka kumuua mpaka leo bado anadunda na passport mpya kapewa na mafao yake na stahiki zake za ubunge kapata

Pumbavu kabisa nyie mnamuombea huku Duniani mwenzenu anachomwa moto mbinguni shubaaamit zake
 
Naona Moderator anachekelea tu! Watu kama hawa wanastahilikuwa banned! Ila ongelea Mbowe ban palepale!
 
Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema katika adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea pumziko la milele mbinguni Hayati John Pombe Joseph Magufuli.

Misa hii takatifu itafanyika Jumapili ya Machi 20 katika viwanja vya madhabahu ya Bikira Maria Malkia wa Kawekamo kuanzia saa nne kamili asubuhi.

Aidha, Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande anatukumbusha kumuenzi Hayati Magufuli kwa kuwa Wazalendo wa kweli, kudumisha amani, undugu na maendeleo ya taifa kwa ujumla.

Hayati Magufuli apumzike kwa amani mbinguni.

View attachment 2147385
Niache kuombea wazazi wangu nikaombee majizi na wauaji 😬😬
 
Hakika Magufuli alikuwa mtumishi wa Bwana kwelikweli. Aendelee kupumzika kwa amani mbinguni.
Apumzike kwa amani wapi wakati aliua na kupiga watu risasi hadharani?? Unampangia mungu pa kumweka muuaji? Kwani wewe hupajui alipo??
 
Ubongo wako mgumu sana kuelewa. Point ni kuwa uwe jambazi ama mtakatifu, ukishakufa, kitabu chako kinafungwa (soma Ecclesiastes 9:5). Yesu ametupa muda wa kuchagua uzima wa milele tukiwa hai, siyo baada ya kifo. Haiwezekani baada ya kifo kwa sababu wafu hawajui lolote. Hawawezi kufanya uamzi wowote. Huko aliko ni jiwe kweli. Hata ukiomba ukatoa mchozi ya damu, jiwe haliwezi kutubu. Alipewa miaka 61 ya kufanya toba. Kama hakufanya, hauwezi kumfanyia wewe hata ukiomba kwa machozi ya damu.
Tuwekee uthibitisho wa hizo tuhuma.
 
Back
Top Bottom