Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna.Kwani hakuna ndugu, jamaa na rafiki wako aliyekufa kabla au baada ya Magufuli?
Uliweza kuona yamoyoni mwake ukiwa kama Nani?Sijawahi kumuelewa wala kumuona kama mnavyomuona nyinyi huyo jamaa anaitwa magufuri labda kwa sababu alikuwa boss wangu niliweza kuona mengi yaliyopo moyoni mwake na nyie mkaona ya kwenye kioo cha Tv zenu
Imani yako na yangu ni vitu tofauti mimi RC naamini ivo na tunakuwa na misa za kuombea marehemu ndo Baba askofu kaamua kuazimisha misa maalimu yakumwombea JPM.kama kuna kitu kinakukaba kooni unakosa pumzi kwa misa hiyo Nenda pembezoni mwa bahari au mto upate hewa safi ukae sawaIngekuwa na maana gani kuishi maisha ya toba sasa? Yaani uue watu, uwafunge maiti kwenye viroba, utese watu... usitubu wakati uko hai, halafu ukifa ndugu zako wanakuombea unakuwa mtakatifu huko kifoni, unaepuka hukumu ya Mungu!!?? Nani angekwenda huko jehanamu sasa? Na maana ya kutubu na kuishi maisha ya Kristo wakati uko hai ingetoka wapi sasa!! Tumia ubongo wako vizuri (Ecclesiastes 9:5).
Ndo kifo alichopangiwa wewe utakufa kifo gani? Au utaishi mileleWalikuwa wapinzani wa kisiasa? JPM alikuwa ni Stalin in the making, Bahati nzuri 'Covid' ikambeba hahaha
Utakuwa na shida kichwani wewe.kapambana madini hadi impact ikaonekana kama tu mambo yamerudi kama kawaidaAlilinda nini? Acheni ujinga nyinyi watu. Wewe utakuwa ni Machinga uliyeruhusiwa kuchafua miji. Angekuwa hivyo ulivyosema tungekuwa naye hadi leo
Lile kanisa la kawekamo ni zuri sanaa..tunawatakia kila kherii[emoji3590][emoji1665]Pole sana mkuu,
Unatakiwa ku-move on.
Karibu Jumapili ya tarehe 20 Machi tumuombee Rais wetu bora kabisa wa wakati wote pale Kawekamo, Mwanza.
Huyo si mkatoliki jamaniUlishawahi kufa ukakutana na hiki unachotueleza?
Au la tupe uthibitisho wa hizi assertions zako.
Pilipili wasioila inawawashia nini sijui.Imani yako na yangu ni vitu tofauti mimi RC naamini ivo na tunakuwa na misa za kuombea marehemu ndo Baba askofu kaamua kuazimisha misa maalimu yakumwombea JPM.kama kuna kitu kinakukaba kooni unakosa pumzi kwa misa hiyo Nenda pembezoni mwa bahari au mto upate hewa safi ukae sawa
Dua la kuku halimpati mwewe.Na hiyo misa ikifanyika mpigwe na radi hapohapo mfe kwa unafiki wenu.
Mtaniombea mkiwa mmeshakufa?Na wewe tutakuombea/watakuombea.
Imani yako na yangu ni vitu tofauti mimi RC naamini ivo na tunakuwa na misa za kuombea marehemu ndo Baba askofu kaamua kuazimisha misa maalimu yakumwombea JPM.kama kuna kitu kinakukaba kooni unakosa pumzi kwa misa hiyo Nenda pembezoni mwa bahari au mto upate hewa safi ukae sawa
Sukuma Gang tupo mkuu.Kwanini iwe mwanza au Kanda ya ziwa au Usukumani?
Nilikuwa siamini kitu kinaitwa Sukuma Gang sasa nakiona?
So hata Maaskofu wasukuma walikuwa kitu kimoja nakumbuka hata ya Gwajiboy , Porn Star
Aiseee acha chuki za wazi tuambia hadi sasa kuna idiology gni? Mpya iliyofanywa na awamu ya sita.kama si mwendelezo wa idea za JPMMagufuli alikuwa mtu mwovu muuwaji katili asiyejali maisha ya watu wake aliwadanganya watanzania maskini kwamba yeye ni mtetezi wa wanyonge lakini kiuhalisia alikuwa jambazi katili na asiyefwata sheria.