Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Kweli kifo ni fumbo! Magufuli amelala hajaaamka tena na madaraka,ngilba na ubabe wake wote ule. Kweli kifo kipo.
Kwani hakuna ndugu, jamaa na rafiki wako aliyekufa kabla au baada ya Magufuli?
 
Sijawahi kumuelewa wala kumuona kama mnavyomuona nyinyi huyo jamaa anaitwa magufuri labda kwa sababu alikuwa boss wangu niliweza kuona mengi yaliyopo moyoni mwake na nyie mkaona ya kwenye kioo cha Tv zenu
Uliweza kuona yamoyoni mwake ukiwa kama Nani?
 
Ingekuwa na maana gani kuishi maisha ya toba sasa? Yaani uue watu, uwafunge maiti kwenye viroba, utese watu... usitubu wakati uko hai, halafu ukifa ndugu zako wanakuombea unakuwa mtakatifu huko kifoni, unaepuka hukumu ya Mungu!!?? Nani angekwenda huko jehanamu sasa? Na maana ya kutubu na kuishi maisha ya Kristo wakati uko hai ingetoka wapi sasa!! Tumia ubongo wako vizuri (Ecclesiastes 9:5).
Imani yako na yangu ni vitu tofauti mimi RC naamini ivo na tunakuwa na misa za kuombea marehemu ndo Baba askofu kaamua kuazimisha misa maalimu yakumwombea JPM.kama kuna kitu kinakukaba kooni unakosa pumzi kwa misa hiyo Nenda pembezoni mwa bahari au mto upate hewa safi ukae sawa
 
Alilinda nini? Acheni ujinga nyinyi watu. Wewe utakuwa ni Machinga uliyeruhusiwa kuchafua miji. Angekuwa hivyo ulivyosema tungekuwa naye hadi leo
Utakuwa na shida kichwani wewe.kapambana madini hadi impact ikaonekana kama tu mambo yamerudi kama kawaida
 
Pole sana mkuu,
Unatakiwa ku-move on.

Karibu Jumapili ya tarehe 20 Machi tumuombee Rais wetu bora kabisa wa wakati wote pale Kawekamo, Mwanza.
Lile kanisa la kawekamo ni zuri sanaa..tunawatakia kila kherii[emoji3590][emoji1665]
 
Imani yako na yangu ni vitu tofauti mimi RC naamini ivo na tunakuwa na misa za kuombea marehemu ndo Baba askofu kaamua kuazimisha misa maalimu yakumwombea JPM.kama kuna kitu kinakukaba kooni unakosa pumzi kwa misa hiyo Nenda pembezoni mwa bahari au mto upate hewa safi ukae sawa
Pilipili wasioila inawawashia nini sijui.
 
Kwanini iwe mwanza au Kanda ya ziwa au Usukumani?

Nilikuwa siamini kitu kinaitwa Sukuma Gang sasa nakiona?
So hata Maaskofu wasukuma walikuwa kitu kimoja nakumbuka hata ya Gwajiboy , Porn Star
 
Biblia ni ile ile - Soma Ecclesiastes 9:5. Biblia ndio ukweli wa Mungu.
Imani yako na yangu ni vitu tofauti mimi RC naamini ivo na tunakuwa na misa za kuombea marehemu ndo Baba askofu kaamua kuazimisha misa maalimu yakumwombea JPM.kama kuna kitu kinakukaba kooni unakosa pumzi kwa misa hiyo Nenda pembezoni mwa bahari au mto upate hewa safi ukae sawa
 
Kwanini iwe mwanza au Kanda ya ziwa au Usukumani?

Nilikuwa siamini kitu kinaitwa Sukuma Gang sasa nakiona?
So hata Maaskofu wasukuma walikuwa kitu kimoja nakumbuka hata ya Gwajiboy , Porn Star
Sukuma Gang tupo mkuu.

Halafu watu wa Mwanza hatuwezi kuacha kumuombea eti kisa ametokea huku.

Mcheza kwao hutunzwa.
 
Magufuli alikuwa mtu mwovu muuwaji katili asiyejali maisha ya watu wake aliwadanganya watanzania maskini kwamba yeye ni mtetezi wa wanyonge lakini kiuhalisia alikuwa jambazi katili na asiyefwata sheria.
Aiseee acha chuki za wazi tuambia hadi sasa kuna idiology gni? Mpya iliyofanywa na awamu ya sita.kama si mwendelezo wa idea za JPM
 
Back
Top Bottom