Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
- Thread starter
- #521
Wewe ni sehemu ya hizo mamlaka?Udhibitisho upelekwe wapi wakati mamlaka za kudhibitisha zina hofu na hayo madaraka. Au unadhani ukisema tulete ushahidi ndio inaondoa ukweli? We kesha hapa, shinda hapa huo ndio ukweli ambao huwezi kuubadili kwa mahaba yako kwake.