Mwaka mmoja bila Magufuli: Wasiokuwa wazalendo waendelea kuweweseka

Huenda unayosema ni kweli. Hebu tuwekee uthibitisho mkuu.
 
Binafsi sijawahi kufa mkuu.

Duh! Hebu tupe uzoefu, kwahiyo huwa unaenda kuzimu?

Usiogope kijana. Kufa ni hali ya kutokuwepo. Ni kinyume cha uhai.

Huendi kuzimu wala peponi, bali unarudi kwenye udongo mahali ulipotwaliwa au ulipotoka.
 
Gari haliwezi simama kwa kukosa abiria, tutamkumbuka kwa mazuri.

Kagame ndie aliyempotosha.
 
Usiogope kijana. Kufa ni hali ya kutokuwepo. Ni kinyume cha uhai. Huendi kuzimu wala peponi, bali unarudi kwenye udongo mahali ulipotwaliwa au ulipotoka.
Mwili ndio ubaki udongoni,nafsi na roho yako uenda paradiso au kuzimu tegemeana na matendo yako.

Hii kwa mujibu wa maandiko Quran tukufu na Biblia takatifu pia kwa Shuhuda za walioenda na kurudi.
 
Kukatika umeme imekuwa kero kweli ,imezidi sana..wanyonge tunamkumhuka.
Jiwe alishamalizana zamani sana na hizi mambo za umeme.

Shida hawataki kuiendeleza Julius Nyerere Hydroelectric Power...

Wanahofia legacy.
 
Usiogope kijana. Kufa ni hali ya kutokuwepo. Ni kinyume cha uhai. Huendi kuzimu wala peponi, bali unarudi kwenye udongo mahali ulipotwaliwa au ulipotoka.
Huwa unaenda kuzimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…