Magufuli alipoongeza makato bodi ya mkopo kutoka 8%-15% nilijikuta na take home ya laki 1.82 hapo nikiwa na mke na mtoto mmoja. Kila nikitembea nilikuwa nailaani CCMHii stori ni ya kufikirika na haina hata chembe ya uhalisia. Nahisi ina lengo tu la kuwajaza watu upepo ili watokwe na mapovu!
Naomba niwe tu wa mwisho kuiamini. Maana ina maswali mengi kuliko majibu.
Huyu akitaka kurudi hata leo kazini anarudi tu bila shida,tena rahisi sanaData base ya watumishi wa umma ni moja.
Unapotoroka kazi, kupata kazi labda ughushi kila kitu, jambo ambalo ni gumu.
Ukiona mtumishi anatoroka, elewa katamani ujasiria mali ama kazi za mashirika binafsi.
Qnet m9 BITCOIN na ponzi schemes zingine zimehusika hadi huyo mwalimu kufika hapo. Ponzi schemes zimekula vichwa vya waalimu ambao hawana majukumu na wenye vichwa vya panzi. Nimejionea mengi. Waathirika wakubwa wa ponzi schemes ni waalimuNimesikitishwa kupata habari kuhusu mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Dunda iliyopo Bagamoyo mkoa wa Pwani kukimbia kazi ya ualimu baada ya kulipwa 34000 kwa mwezi.
Hii inatokana na adhabu ya kushushwa cheo na kulipwa nusu mshahara na Tume ya Utumishi wa Walimu kwa kosa la utoro kazini.
Mwalimu huyo wa kike aliishi maisha magumu sana hapo hapo shuleni ,alikosa mpaka hela ya kula ilimlazimu auze miwa na maembe aliyoyaokota hapo shuleni ili apate pesa ya kula.
Uzalendo ukamshinda baada ya mazingira magumu ya kazi aliamua kuondoka kazini bila ya taarifa kwa muajiri.
Habari nilizozipata mwalimu huyo yupo Mlandizi akifanya kazi ya kuhudumia wateja bar.
TSC mnapotoa adhabu ya kupunguza mishahara kwa walimu mzingatie iwapo kama mtuhumiwa ana mikopo benki, isitoshe adhabu ya kupunguza mshahara ni ya kikatili maana mshahara wenyewe hautoshi hapo hapo mnaupunguza.
Habari nilizozipata huyu mwalimu alikuwa na madeni benki na taasisi za fedha hapo Bagamoyo.
Kutokana na mazingira magumu ya kazi mwalimu huyo kaamua kutelekeza kazi yake.
Kwa kutumia njia gani wakati system ishamuondoa, au anaajiriwa upya?Huyu akitaka kurudi hata leo kazini anarudi tu bila shida,tena rahisi sana
System imuondoe afu imlipe nusu mshahara? Ni sisitimu ipi hiyo mkuu? KKwa kutumia njia gani wakati system ishamuondoa, au anaajiriwa upya?
Ninachosema ni hivi?System imuondoe afu imlipe nusu mshahara? Ni sisitimu ipi hiyo mkuu? K
Hii stori ni ya kufikirika na haina hata chembe ya uhalisia. Nahisi ina lengo tu la kuwajaza watu upepo ili watokwe na mapovu!
Naomba niwe tu wa mwisho kuiamini. Maana ina maswali mengi kuliko majibu.
Wala kazi ya ualimu haina laana yoyote, tatizo ni huyo mwl aliekopa hovyo kwenye taasisi za kifedha, na bado akawa mtoro kazini Sasa ulitaka walee uzembe?Kumbuka huyu mwalimu alikuwa na madeni lukuki, kabla ya adhabu hiyo alikuwa na makato mengi.
Kazi ya ualimu ina laana, maana Walimu wengi wanaishi maisha magumu.
Ni elfu thelathini na nne(34000).Mr.Ban huyu mwalimu ni graduate, ana degree kutoka UDSM.
Sijawahi sikia watoro kama walimu!!! Sijui kwa nini walimu tu!?Walimu waboreshewe maslahi kama wabunge.
Nilisikia report ya katibu mkuu wa tume ya Utumishi wa Walimu kwamba asilimia 50 ya Walimu wamefukuzwa kazi kwa utoro baada ya kuishi ktk mazingira magumu.
Mbona hatusikii idadi hiyo kuacha kazi Benki Kuu, TRA, Uhamiaji, Bandari, Jeshi?
Jibu kwanza swali langu mkuu ni system gani inaweza kukulipa nusu mshahara afu useme imekuondoa?Ninachosema ni hivi?
Sasa hivi na zamani ni tofauti.
Zamani mtu aliweza kuacha kazi na kutafuta kazi nyingine bila tatizo bila kujulikana.
Lakini kwa mfumo wa sasa, kuanzia kuajiriwa hadi kuacha ama kufutwa kwa utoro alama wanabaki nayo.
Hivyo popote utakapotaka kuajiriwa kazi za serikali waki retrive wanakuona pamoja na sababu zilizokuondoa kazini.
Lakini mashirika ya binafsi wala haina shida.
Alipopata mkopo alifanyia niniAnadaiwa na benki ya NMB, na FAIDIKA.
Na hii ndio maisha yafamilia zetu nyingi yalivyo!Inawezekana amesaidia kusomesha wadogo zake,kutibia wanafamilia,alianzisha biashara ikagoma,alijengea wazazi,na mambo mengine kama hayo
Huyo hachaacha kazi na wala hajafukuzwa kazi na ndyo mana anapata mshahara,tatizo hapo ni utoroNinachosema ni hivi?
Sasa hivi na zamani ni tofauti.
Zamani mtu aliweza kuacha kazi na kutafuta kazi nyingine bila tatizo bila kujulikana.
Lakini kwa mfumo wa sasa, kuanzia kuajiriwa hadi kuacha ama kufutwa kwa utoro alama wanabaki nayo.
Hivyo popote utakapotaka kuajiriwa kazi za serikali waki retrive wanakuona pamoja na sababu zilizokuondoa kazini.
Lakini mashirika ya binafsi wala haina shida.