Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
Nyerere alifanya hadi nyakati zilipomruhusu.Nyerere katuachia shetani CCM dude linalomaliza nchi yetu limeuza KILA kitu madini bandali migodi mito na maziwa vyote vimeuzwa mtanzania ukihoji vitu hivi unatekwa na kupotezwa CCM NI lishetani
Na miaka michache kuelekea ukomo alidiriki kuwaponda ccm na viongozi wake wazi wazi!
Swali la kujiuliza, je, sisi tunaoishi leo tunachukua hatua zipi dhidi ya ccm?
Je, tunaweza kusimama na kuikosoa ccm wazi wazi kama alivyofanya Nyerere?