Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
Nyerere alifanya hadi nyakati zilipomruhusu.Nyerere katuachia shetani CCM dude linalomaliza nchi yetu limeuza KILA kitu madini bandali migodi mito na maziwa vyote vimeuzwa mtanzania ukihoji vitu hivi unatekwa na kupotezwa CCM NI lishetani
Nimechukua hapa👇Baadhi ya ukweli upo wazi, mengine yamefichwa sana.
Ni kazi ya watunza Siri Sasa kuziweka wazi maana mwisho wa siku Kila jambo litakuja kuwa wazi tuu.
Mkuu, nchi zote Africa bado ni makoloni ya nchi za ulaya, Marekani ni kiranja tuu. Hamiliki koloni lolote ila anakula kwa mgongo wa nchi za ulaya.
Ukiona nchi ya Dunia ya tatu imetulia bhasi anayewamiliki ameshaweka sawa maslahi yake na wananchi wa hiyo nchi.
Inshort jamaa bado wamejituliza na koloni lao, japokuwa wanapitia mengi sana. Angalia siku ya uapisho gari zilizotumika kumbeba yule naniliu. Zilikua ni LRR.
Nitasoma kuhusu huyo Babangida then nitalinganishaUkimsoma Rudi bongo muangalie yule anaishi jirani na msata. Yule ndio BABANGIDA wa TZ
Asante mkuu, majukumu tuu ndio yanatufunga but always I will be here.
Alidiriki kuwaponda ccm na viongozi wake wazi wazi .Nyerere alifanya hadi nyakati zilipomruhusu.
Na miaka michache kuelekea ukomo alidiriki kuwaponda ccm na viongozi wake wazi wazi!
Ndio tujiulize wote kwa pamojaSwali la kujiuliza, je, sisi tunaoishi leo tunachukua hatua zipi dhidi ya ccm?
Je, tunaweza kusimama na kuikosoa ccm wazi wazi kama alivyofanya Nyerere?
Alimdhalilisha kwa namna gani?Nyerere pia alizima harakati za G55 kuleta serikali 3. Na katika kufanya hivyo alimdhalilisha Mwinyi kwenye press conference. Mwinyi akaishia tu kusema kwamba Mwalimu ni mlima na yeye ni kichuguu.
CCM ya leo haitaki kukosolewa ukiikosoa Kama hawaja kupolepole Basi unakesi ya uhainiNyerere alifanya hadi nyakati zilipomruhusu.
Na miaka michache kuelekea ukomo alidiriki kuwaponda ccm na viongozi wake wazi wazi!
Swali la kujiuliza, je, sisi tunaoishi leo tunachukua hatua zipi dhidi ya ccm?
Je, tunaweza kusimama na kuikosoa ccm wazi wazi kama alivyofanya Nyerere?