Mwampamba na Shonza yameanza kuwakuta yale ya Shaibu na Tambwe Hiza CCM

Wajinga ndio waliwao, hehehehe kama unabisha muulize juliana shoza na mtela mwampamba, moto ushaanza kuwawakia, we endelea kuuza sura jf labda utaambulia mume soon

Big up sana Sweetlady kwa kuongoza mapambano dhidi ya hawa Magamba.Team Lumumba inapatikana wapi nami nataka kuingia huko.Iko JF au FB?
 
Big up sana Sweetlady kwa kuongoza mapambano dhidi ya hawa Magamba.Team Lumumba inapatikana wapi nami nataka kuingia huko.Iko JF au FB?

Acha kulia lia na kujidhalilisha kwa mwanaume mwenzio ww. Jitegemee
 


Hawa wtu tupa kule kama takataka,ndio tabia ya ccm kuwatumia waliokuwa wapinzani wao na kazi ikiisha huwatupilia mbali waachwe wavune walichopanda lol.
 
Sometimes wanazi wa CDM humu ndani wanakuwa kama mazuzu vile
Wao wanachotaka ni uandike chochote kuponda CCM basi watashadadia wakati habari haina kichwa wala miguu
Ingekuwa ni habari ya CDM hapa kila mtu ange demand source..........................

Hivi ni kuna mazuzu kama ninyi mnaoshindwa kusoma alama za nyakati? Kwa uzuzu wenu mnadhani JF imejaa manazi wa CCM...hamtaki kufungua maskio yenu kuskia wengi wa vijana Facebook wanasemaje, au kwa ujumla kabisa, walalahoi Watanzania wanasemaje! JF ni representative sample tu ya hali halisi ilivyo huko mtaani. Endeleeni na uzuzu wenu kudhani 'tatizo lipo JF'...mtapoamka kutoka kwenye usingizi wenu wa pono,mtaelewa nini kinaendelea....
 


shaibu nilikuana nae Chato amechoka, sijui anafanya deal gani kule? anatembea kwa miguu umbali mrefu kama daruweshi
 
Big up sana Sweetlady kwa kuongoza mapambano dhidi ya hawa Magamba.Team Lumumba inapatikana wapi nami nataka kuingia huko.Iko JF au FB?

Iko huku huku mkuu TECH WIZ .. Tafuta thread yenye heading 'Miezi mitano ya juliana shoza na mtela mwampamba Tathmini kupata au kuliwa'
 
Last edited by a moderator:

Ahahahahaaaaaa.......kwa shonza na kwa mwampamba kote kutamuuuuu...........sitaki kujua toilet paper na kondom vikitumkka vinatupwa wapi
 
Mimi kabla sijapata mwangaza hakika niliamini propaganda za CCM kuwa chadema ni chama cha vurugu bahati mbaya zaidi nikaenda mbali kueneza sumu hii, nasikitika saaaana, ila now nimeelewa ukweli hakika hamniondoi nimegundua hawa ni wakombozi sidanganyiki tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…