LGE2024 Mwamposa: Watu wangu nenda mjiandikishe mkapigie kura CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Haya tena misukule ya Mwamposa tekelezeni amri ya mungu wenu.
 

Ashitakiwe na taasisi yake ifungiwe kwa kuongea irresponsibly. Taasisi yake ina sera na pia sheria inayosimamia usajili wa taasisi za dini inakataa wazi kuchanganya dini na siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…