Ndiyo ujuwe maisha hayana formulaAmejitahidi kuunga unga mpaka ametoboa. Enzi hizo wanapigana vijembe na akina Lady Jaydee kwenye wimbo wa wanaume kama mabinti, hata usingeweza kumdhania kama angefika hapo alipo.
Kichwani yuko vzr,most of hiphop artist kichwani wako vizuri sanaLabda kwa wasio mfahamu ..kifupi FA ni kichwa smart sana tu...labda watafte jingine
Diploma si unaanza certificate mwaka mmoja kisha unasoma miaka miwili Dipolma afu degree ya kwanza miaka mitatu au sio hivyo? au siku hizi imebadilika maana mm nimesoma zamani kidogoNamanisha kasoma advanced diploma siyo diploma ndiyo maana unaona kasoma miaka 3(2004-2007) ni typing error za pale bungeni
had Fid QKichwani yuko vzr,most of hiphop artist kichwani wako vizuri sana
Tofauti na hawa wavaa vikuku mguuni
Ova
📌Kichwani yuko vzr,most of hiphop artist kichwani wako vizuri sana
Tofauti na hawa wavaa vikuku mguuni
Ova
Kusema kwamba ameweka historia ya aina yakeKwahiyo unataka kusemaje mkuu??
Naiiunga mkono iloMasters nayo ni degree. Nafikiri umemaanisha Masters bila degree ya undergraduate.
Nyerere kasoma Masters "bila degree". Kawa Waziri Mkuu ana Masters "bila degree".
Soma historia.
Zaidi, tuambizane zaidi kuhusu ufanisi wa mtu kuliko makaratasi yake.
Wabana pua na waburuza koo wa singeli vichwani ziroKichwani yuko vzr,most of hiphop artist kichwani wako vizuri sana
Tofauti na hawa wavaa vikuku mguuni
Ova
Hivi sasa ana CV, aweza hata kugombea Jimbo hapa mjini na akashinda.Ebu waacheni na watoto wa maskini na wenyewe waonje asali.
Balozi Rajabu Adadi mpaka muda huu mama ajamkumbuka bado, sidhani kama FA atatoboa 2025 jamaa akitia kambi.
Jimbo lenyewe kalipata baada ya Adadi kukatwa na Magufuli sioni akimshinda 2025.
Mie ushauri wangu kwa FA ni kuacha kujiona gangster kitaa kipo kimya, kwa sababu una maadui powerful zaidi serikalini and we don’t bring down underdogs.
Mkuu tafaadhali,kwenye meno hakuta taka,Bali chakula ambacho halijamezwaNi Africa pekee elimu tunaifanya kuwa ngumu ilihal haijatusaidia kwa lolote la maana
Hao waliopita undergruate had PhD wamelifanyi nn taifa
China Japan south Korea wao wanaangalia uwezo wa mtu katka fani fulan leo hii wameleta mapinduz mazito katika teknolojia kwa taifa lao
Sisi tumekalia vyeti vyeti ilihali hata kijiti chakuchonolea taka katka meno kinatok nje ya nchi
sawa sawaElimu ya vyuo vya nje huwa havina complication, vina utaratibu wa kuvusha watu darasa kutokana na uwezo fulani wa muhusika; unaweza kuta kijana wa miaka 23 ana Phd.
Means haijawahi kutokea before right???Kusema kwamba ameweka historia ya aina yake
Fid q kichwahad Fid Q
Bt FAA Si mtoto wa maskini pekee, ni kitengo.Ebu waacheni na watoto wa maskini na wenyewe waonje asali.
Balozi Rajabu Adadi mpaka muda huu mama ajamkumbuka bado, sidhani kama FA atatoboa 2025 jamaa akitia kambi.
Jimbo lenyewe kalipata baada ya Adadi kukatwa na Magufuli sioni akimshinda 2025.
Mie ushauri wangu kwa FA ni kuacha kujiona gangster kitaa kipo kimya, kwa sababu una maadui powerful zaidi serikalini and we don’t bring down underdogs.