TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

Mbona siku hizi watu wanafariki wadogo sana!

Ndani ya miezi miwili hii, nimeshakutana na taarifa za vifo si pungufu ya 10 kwa watu ambao ni 45 kurudi chini...
Kaaa tu usifanye ibada
 
Alikuwa na mtizamo tofauti na chama chake kuhusu Katiba mpya na aliwahi kupinga wazi wazi na Katibu Mkuu aliyejiuzulu Chongolo na toka wakati huo aliaza kuadimika.
Siamini hili, Old Mushi alikuwa Chawa mpaka uteuzi tu, hajawahi kuwa threat Kwa serikali.

Yani asiwe target Humphrey Polepole ndio waangaike na huyu? Siamini.
 
daaaah!
apumzike kwa amani , pole nyingi kwa familia na jamaa wote.
kifo ni mwisho wa maisha ya kiumbe chochote akiwepo mwanadamu lakini pia ni mwanzo wa aina nyingine ya maisha, tunatumia sana tunaposema taarifa za kifo lakini pamoja na maumivu yote inatupasa kushukuru kwa ajili ya maisha yake na kushukuru kwa kile chema alichofanya kwa jamii na familia yake.
ajaliwe kupumzika kwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…