Mwanadamu siku zake za kuishi ni chache nazo zimejaa tabu, shida na mahangaiko
Ki ukweli kabisa, tuwapo hai na tuwapo na nguvu, huwa tunadangantana saaana na tusijue ni lini tutaondoka, tunadhulumu, tunauwa, tunaiba, tunajilimbikizia mali, tunapokea rushwa na zinakuwa sababu ya kupoteza uhai wa wengine, ukipata muda, usisahau kumkumbusha mwanadamu kwamba, mbali na jeuri tulizonazo, Siku zetu zimehesabiwa Ni vyema kuutambua uwepo wa Mungu na kuishi vizuri na watu wote
Tangulia Mushi nasi tu nyuma yako