Mwanachama humu amenikumbusha nilivyomfanyia jamaa mmoja aliyekuwa anajiona kafika kazini

Du wewe jamaa ni mshirikina.
Lakini tegemea kila umtendalo mtu mwenye nafsi, jitayarishe kutendewa vivyo.
Mimi kama hayo yalinipata maishani, lakini aliyenitenda alikuja kuniomba msamaha kupitia mkuu wa dini, baada ya miaka kadhaa kupita.
But it was too late, cancer ilishamharibu na hakujua ilitoka wapi.
Alifariki muda mfupi baadaye.

Usitambe na ushirikina, kwa UHAKIKA utakutafuna tu.
Its from experience.
 
Utakufa mhundu juu.
Muda unaharibu maisha ya mtoto wa wa mwenzio basi wako atafanyiwa unyama.

Upendo ni tunda la rohoni mtu akiwa na upendo amebarikiwa.
😅😅😅😅
 
Hiyo roho mbaya yako na hao wenzako naona ni VVIP, Hongereni kwaiyo mnapata gawio la mshahara wako au ndy bila bilaaaaa
 
Nikiwahita matahaila wewe na na hao wenzako mlioshindwa kufanya kazi,na kuonea mwenzenu wivu, nitakuwa nimekosea?
 
Upumbavu! Haya hamieni na kwangu niko hapa ninawakaribisha; wajinga nyie
 
Mleta Uzi,acha ushrikina.....watz asilimia kubwa wanapenda Pesa ila ni wavivu sana wa kazi...ila majungu,fitina na umbea kama wewe ndiyo vitu mnapenda...kampuni nyingi zinakufa nchini kwasababu ya watu kama wewe.......hufai kabisa kwenye jamii
 
Aise we dogo akili huna kabisa...yani umugaka ndio anakufanya unahangaika hivi ? [emoji23] Una wivu kama binti sayuni
Namwonea wivu mademu wote amewachukueni anajigongea mmoja mmoja...mimi naonekana tu chizi....hasa wewe ndo umenifanya noumie kabisa...mtu umenikubalia mpaka nikuoe leo unaanza kutekwa kijinga tu....na pesa zangu umekula sana nyau wewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…