Mwanachama humu amenikumbusha nilivyomfanyia jamaa mmoja aliyekuwa anajiona kafika kazini

Safari ya nchi kutoboa ni ngumu. Mchapakazi vizuri analogwa
 
Story fikirishi sana, yaani hii ndiyo hali halisi ya maisha ya mtu mweusi.
 
Bas Sasa nimeamini wabugia pombe CYO Kama wamependa Kuna kitu wamefanyiziwa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nikiwahita matahaila wewe na na hao wenzako mlioshindwa kufanya kazi,na kuonea mwenzenu wivu, nitakuwa nimekosea?
Hapana. Hautakuwa umekosea hata kidogo. Unajua tushawahi kuitwa majina mabaya kuliko hilo lako.
 
Zilete kabisa.....na wewe umekaa zanzibar sehemu gani? Inaweza ikawa nakufahamu......πŸ˜‚
 
Kwa Imani ya dini yangu kabla ya kulala usiku huwa tunaomba kwa kumwambia Mungu
"Na unikinge na Shari ya hasidi anapo husudu"

Mahasidi wenyewe ndo watu kama wewe kweli dua ni muhimu sana
 
Nisiongee sana Mungu ameona na atatenda haki ikiwa Jamaa hakuwakosea chochote basi Mungu atawalipa mara mbili zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…