Mwanachama humu amenikumbusha nilivyomfanyia jamaa mmoja aliyekuwa anajiona kafika kazini

Huyu jamaa alifika kazini akawa anajiona yeye ndo yeye. Kazi anaipenda sana kuliko sisi wengine. Basi ikawa kila mfano mzuri boss anamsema yeye. Kila jambo jema mfano yeye.

Jamaa akaanza kupewa pewa safaris nyingi sana. Akawa anapewa bonus kila mara, yaani kiufupi jamaa alianza kupendeza. Akawa anapiga tie, mara suits, anachomekea na siku hizi mnaita Unyakyusa mwingi sana. Nikaliona hili nalo likafikiriwe. Nikawaita wadau kamati ya roho mbaya.

Tukakaa wenyeji, tukajadiliana kuwa huyu dogo mbona kama sisi wenyeji anakosa heshima kwetu. Kaja tunamwona hivi hivi, jamaa mmoja akasema anabonga naye. Akaenda mshtua dogo akajibu yeye si mtu wa majungu kaja kufanya kazi.

Tukarudishiwa taarifa. Basi jamaa mmoja akasema tumpatie pesa fulani atashughulika naye. Akaenda Bagamoyo tu hapo. Wala si mbali.

Yule dogo akaanza kuwa kazini mara haji, akawa anagida sana pombe, anaweza akapotea siku mbili analewa analala bar. Akawa mkorofi kinyama kazini. Mpaka boss anamsemea mbovu. Anasema kwani hii nayo kazi? Basi tu ila yeye si wa kufanya kazi sehemu kama ile.

Tukamwekezea na majungu kinyama, akaharibu ile mbaya pale job. Wakamtimua. Aiseee tulifurahi sana. Tukampongeza fundi wetu kiungo mchezeshaji. Tukabaki wenyewe tu job kwa starehe zetu.

Hizi kazi umekuja umeikuta utaiacha. Usilete kujua saaaaana.watu tumekaa Zanzibar, tumekaa Tanga... tunajua kuishi na watu. Usitake jifanya wewe ndio unafaaanya sana kazi. Mwishowe kazi nayo itakufanya. Muwe mnaheshimu wakubwa. Tunaweza kukufanya kama tulivyomfanya Mashaka Gobwe. Huyu hawezi kutusahau milele... Ishini na watu vizuri.....shauri zenu.
Safari ya nchi kutoboa ni ngumu. Mchapakazi vizuri analogwa
 
Story fikirishi sana, yaani hii ndiyo hali halisi ya maisha ya mtu mweusi.
 
Bas Sasa nimeamini wabugia pombe CYO Kama wamependa Kuna kitu wamefanyiziwa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nikiwahita matahaila wewe na na hao wenzako mlioshindwa kufanya kazi,na kuonea mwenzenu wivu, nitakuwa nimekosea?
Hapana. Hautakuwa umekosea hata kidogo. Unajua tushawahi kuitwa majina mabaya kuliko hilo lako.
 
Nikuletee nyuzi zako unazosema ulikua unawatengeneza watu kwa waganga? Au utazikana saizi. Mi nna majirani zangu wa pemba nnayoyaona siri yangu. Nimeishi zanzibar miaka mingi tu niliyojifunza nimenyoosha mikono. We kama sio mshirikina kwanini upanic? Kwani wenzio hawafanyi kweli?
Zilete kabisa.....na wewe umekaa zanzibar sehemu gani? Inaweza ikawa nakufahamu......😂
 
Kwa Imani ya dini yangu kabla ya kulala usiku huwa tunaomba kwa kumwambia Mungu
"Na unikinge na Shari ya hasidi anapo husudu"

Mahasidi wenyewe ndo watu kama wewe kweli dua ni muhimu sana
 
Nisiongee sana Mungu ameona na atatenda haki ikiwa Jamaa hakuwakosea chochote basi Mungu atawalipa mara mbili zaidi
 
Back
Top Bottom