Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Unajivunia upuuzi,
Umenikasirisha mno.
Umenikasirisha mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suo bongo tu nchi yoyote walipo binaadamu tegemea hiliNatoka Tanzania Tz Bongo nchi ya figisu, Uchawi, roho mbaya, wivu, majungu, chuki, asilimia 90 ya wananchi ni maskini jeuri.
Safari ya nchi kutoboa ni ngumu. Mchapakazi vizuri analogwaHuyu jamaa alifika kazini akawa anajiona yeye ndo yeye. Kazi anaipenda sana kuliko sisi wengine. Basi ikawa kila mfano mzuri boss anamsema yeye. Kila jambo jema mfano yeye.
Jamaa akaanza kupewa pewa safaris nyingi sana. Akawa anapewa bonus kila mara, yaani kiufupi jamaa alianza kupendeza. Akawa anapiga tie, mara suits, anachomekea na siku hizi mnaita Unyakyusa mwingi sana. Nikaliona hili nalo likafikiriwe. Nikawaita wadau kamati ya roho mbaya.
Tukakaa wenyeji, tukajadiliana kuwa huyu dogo mbona kama sisi wenyeji anakosa heshima kwetu. Kaja tunamwona hivi hivi, jamaa mmoja akasema anabonga naye. Akaenda mshtua dogo akajibu yeye si mtu wa majungu kaja kufanya kazi.
Tukarudishiwa taarifa. Basi jamaa mmoja akasema tumpatie pesa fulani atashughulika naye. Akaenda Bagamoyo tu hapo. Wala si mbali.
Yule dogo akaanza kuwa kazini mara haji, akawa anagida sana pombe, anaweza akapotea siku mbili analewa analala bar. Akawa mkorofi kinyama kazini. Mpaka boss anamsemea mbovu. Anasema kwani hii nayo kazi? Basi tu ila yeye si wa kufanya kazi sehemu kama ile.
Tukamwekezea na majungu kinyama, akaharibu ile mbaya pale job. Wakamtimua. Aiseee tulifurahi sana. Tukampongeza fundi wetu kiungo mchezeshaji. Tukabaki wenyewe tu job kwa starehe zetu.
Hizi kazi umekuja umeikuta utaiacha. Usilete kujua saaaaana.watu tumekaa Zanzibar, tumekaa Tanga... tunajua kuishi na watu. Usitake jifanya wewe ndio unafaaanya sana kazi. Mwishowe kazi nayo itakufanya. Muwe mnaheshimu wakubwa. Tunaweza kukufanya kama tulivyomfanya Mashaka Gobwe. Huyu hawezi kutusahau milele... Ishini na watu vizuri.....shauri zenu.
Story fikirishi sana, yaani hii ndiyo hali halisi ya maisha ya mtu mweusi.Huyu jamaa alifika kazini akawa anajiona yeye ndo yeye. Kazi anaipenda sana kuliko sisi wengine. Basi ikawa kila mfano mzuri boss anamsema yeye. Kila jambo jema mfano yeye.
Jamaa akaanza kupewa pewa safaris nyingi sana. Akawa anapewa bonus kila mara, yaani kiufupi jamaa alianza kupendeza. Akawa anapiga tie, mara suits, anachomekea na siku hizi mnaita Unyakyusa mwingi sana. Nikaliona hili nalo likafikiriwe. Nikawaita wadau kamati ya roho mbaya.
Tukakaa wenyeji, tukajadiliana kuwa huyu dogo mbona kama sisi wenyeji anakosa heshima kwetu. Kaja tunamwona hivi hivi, jamaa mmoja akasema anabonga naye. Akaenda mshtua dogo akajibu yeye si mtu wa majungu kaja kufanya kazi.
Tukarudishiwa taarifa. Basi jamaa mmoja akasema tumpatie pesa fulani atashughulika naye. Akaenda Bagamoyo tu hapo. Wala si mbali.
Yule dogo akaanza kuwa kazini mara haji, akawa anagida sana pombe, anaweza akapotea siku mbili analewa analala bar. Akawa mkorofi kinyama kazini. Mpaka boss anamsemea mbovu. Anasema kwani hii nayo kazi? Basi tu ila yeye si wa kufanya kazi sehemu kama ile.
Tukamwekezea na majungu kinyama, akaharibu ile mbaya pale job. Wakamtimua. Aiseee tulifurahi sana. Tukampongeza fundi wetu kiungo mchezeshaji. Tukabaki wenyewe tu job kwa starehe zetu.
Hizi kazi umekuja umeikuta utaiacha. Usilete kujua saaaaana.watu tumekaa Zanzibar, tumekaa Tanga... tunajua kuishi na watu. Usitake jifanya wewe ndio unafaaanya sana kazi. Mwishowe kazi nayo itakufanya. Muwe mnaheshimu wakubwa. Tunaweza kukufanya kama tulivyomfanya Mashaka Gobwe. Huyu hawezi kutusahau milele... Ishini na watu vizuri.....shauri zenu.
Bas Sasa nimeamini wabugia pombe CYO Kama wamependa Kuna kitu wamefanyiziwaHuyu jamaa alifika kazini akawa anajiona yeye ndo yeye. Kazi anaipenda sana kuliko sisi wengine. Basi ikawa kila mfano mzuri boss anamsema yeye. Kila jambo jema mfano yeye.
Jamaa akaanza kupewa pewa safaris nyingi sana. Akawa anapewa bonus kila mara, yaani kiufupi jamaa alianza kupendeza. Akawa anapiga tie, mara suits, anachomekea na siku hizi mnaita Unyakyusa mwingi sana. Nikaliona hili nalo likafikiriwe. Nikawaita wadau kamati ya roho mbaya.
Tukakaa wenyeji, tukajadiliana kuwa huyu dogo mbona kama sisi wenyeji anakosa heshima kwetu. Kaja tunamwona hivi hivi, jamaa mmoja akasema anabonga naye. Akaenda mshtua dogo akajibu yeye si mtu wa majungu kaja kufanya kazi.
Tukarudishiwa taarifa. Basi jamaa mmoja akasema tumpatie pesa fulani atashughulika naye. Akaenda Bagamoyo tu hapo. Wala si mbali.
Yule dogo akaanza kuwa kazini mara haji, akawa anagida sana pombe, anaweza akapotea siku mbili analewa analala bar. Akawa mkorofi kinyama kazini. Mpaka boss anamsemea mbovu. Anasema kwani hii nayo kazi? Basi tu ila yeye si wa kufanya kazi sehemu kama ile.
Tukamwekezea na majungu kinyama, akaharibu ile mbaya pale job. Wakamtimua. Aiseee tulifurahi sana. Tukampongeza fundi wetu kiungo mchezeshaji. Tukabaki wenyewe tu job kwa starehe zetu.
Hizi kazi umekuja umeikuta utaiacha. Usilete kujua saaaaana.watu tumekaa Zanzibar, tumekaa Tanga... tunajua kuishi na watu. Usitake jifanya wewe ndio unafaaanya sana kazi. Mwishowe kazi nayo itakufanya. Muwe mnaheshimu wakubwa. Tunaweza kukufanya kama tulivyomfanya Mashaka Gobwe. Huyu hawezi kutusahau milele... Ishini na watu vizuri.....shauri zenu.
Alfu chizi maarifa wanaokunanga kuwa umezingua ndio hao hao wanaongoza wengine kupotea Kaz au kufukuzwaMpemba na Mmatumbi.
Sahihi kbsa haya ndio yamejah ila chiz anaonekana mshenziHaya uliyoandika ni kweli kabisa yanafanyika huko makazini.
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Hivi kama huku mtabdaoni uko hivi kwenye maisha nnje ya keyboard inakuaje? Yan UMUGHAKA kuja na story zake kali zimekufanya ufungue uzi?
Itakuwa Ni hz kampuni za kitapeli anafanyia Wala msiogopeNikiwahita matahaila wewe na na hao wenzako mlioshindwa kufanya kazi,na kuonea mwenzenu wivu, nitakuwa nimekosea?
Hata kwenye keyboard unadhani yapo? Yaani yatabaki ndotoni tu. Ila mi ndo naenjoy kuwa na roho mbaya...sijui kwa nini. Mi labda mchawi ila sijijui.😂Kwa roho yako hiyo, mafanikio yako yatabaki kwenye keyboard ⌨ tu
Hapana. Hautakuwa umekosea hata kidogo. Unajua tushawahi kuitwa majina mabaya kuliko hilo lako.Nikiwahita matahaila wewe na na hao wenzako mlioshindwa kufanya kazi,na kuonea mwenzenu wivu, nitakuwa nimekosea?
Zilete kabisa.....na wewe umekaa zanzibar sehemu gani? Inaweza ikawa nakufahamu......😂Nikuletee nyuzi zako unazosema ulikua unawatengeneza watu kwa waganga? Au utazikana saizi. Mi nna majirani zangu wa pemba nnayoyaona siri yangu. Nimeishi zanzibar miaka mingi tu niliyojifunza nimenyoosha mikono. We kama sio mshirikina kwanini upanic? Kwani wenzio hawafanyi kweli?
Ebuu😂 ili uniambukize uchiziZilete kabisa.....na wewe umekaa zanzibar sehemu gani? Inaweza ikawa nakufahamu......😂
🤣🤣🤣 Uta enjoy life utakuwa stress free....niamini mimi.Ebuu😂 ili uniambukize uchizi
Daaaa nimecheka sana hivi wabongo mna Nini lakini?View attachment 2469152
Yani hii Nchi ina vijana wa hovyo kabisa!
Na ndilo lengo la mleta madaKuna watu wataomba namba za mganga tu soon