MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

Chadema na issue zao za NEGATIVITY,watu wanashangilia kwa shangwe,chadema wanasema wanazomea quite different!
 
Mtamzania wa leo siyo was kuburuzwa kama miaka ya 80.

Hiki kizazi ndiyo kitakacho safisha njia ya kuiondoa ccm madarakani.
 
Mkuu umejisikiaje hapo? Umeamini kuwa bila bunduki ccm ni wepesi kama kilomoja ya pamba?
 
Aibu za kujitakia:Komaeni ki Siasa na si kila tukio ni lakuingiza Siasa na Chema pia hujiuza chenyewe...Kibaya ni kujitembeza chenyewe kama hivi...
CCM aminini kwamba watu wasasa wanaona na kuchanganua mambo vizuri.

Hadhira walitaka burudani na ndiyo lengo kuu lililokuwa limewakusanya pale.
Utangulizi wake wa ..'Awamu Ya Sita...'ulikuwa na uelekeo wa Kisiasa,watu wakazomea na kumweleza ukweli...anasikika akiwaambia watulie kwanza awaaeleze jambo kwanza na kelele zinazidi kuwa nyingi.

Much respect ni kwa DJ,alisoma upepo chapu na akaingiza Beat ya Muziki na Mwana FA akaji matipulai,akaipokea na kuirejesha hadhira kwenye lengo,wakampa sapoti na vibe likaendelea.

Kanuni aliyoitumia Sugu kwenye tamasha lililopita kwa kumzuia RC-Chalamila kupanda jukwaani ilikuwa sahihi na ililenga kuepusha taharuki kama hii na alifaulu.
 
Weka video tuone ukweli kisha tuwazomee wazushi
 
Kwani akizomewa we inakuuma nini? Tuliza makalio kafanye mambo yako acha kutetea wanaume wenzio
 
We tayari ni LOFA unaongelea nchi ambayo haipo kwenye ramani ya dunia km siyo lofa ni nini, nani atakuelewa we bwege?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…