Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

Tungekuelewa kama ungesema sheria inatoa adhabu ipi kwa mtu anayepiga picha sehemu isiyoruhusiwa kama Ikulu....I think that is a valid qn....but ni kosa kupiga picha ikulu bila ruhusa.... ignorance of the law has no deffence.... always
Hicho ulicho quote kuna sehemu nimeandika kupiga picha Ikulu au umekosea kuni quote? Nimezungumza kuhusu kupita njia ya jeshini kwa makosa na kwenda kupigwa.
Na kwako wewe kuna sheria inayoruhusu kupiga mtu aliyekosea na akatii sheria bila shuruti?
Soma tena uelewe, hakuna aliyesema watu wakivunja sheria wasihukumiwe kwa mujibu wa sheria, bali kinachopingwa ni vitendo vya kihuni na vya kikoloni vya kupiga watu.
Tatizo ni utumwa wa kufikiri kila kitu ni sawa kisa aliyekufanyia ana mamlaka fulani.
Narudia tena...mtumwa ni muafrika.
 
Nimalizie kwa kusema kitendo cha kumpiga na kumrusha kichura ni kumdhalilisha huyo binti na ni cha kishenzi, na wote wanaounga mkono hatua iliochuliwa na hao walinzi wakora nao awaunganisha nao, reasoning zero, hawana tofauti na mbwa koko
 
Haaaaaaaaaaa
 
Umenikumbusha nikiwa undergraduate dakika chache kabla ya saa 12 kamili jioni tulikuwa tunajazana room na 110 Block C opp na Magereza HQ tunasubiri filimbi ya kushusha bendera pale HQ ya magereza.

Kwa kawaida eneo hilo huwa linapitwa sana na watembea kwa miguu hasa wanaowahi ferry kivukoni. Basi ile filimbi ikipigwa tu kuna wapita njia huwa hawaisikii au wanakaidi kusimama au wageni ambao hawajui filimbi ina maanisha nn aisee tulikuwa tunawapiga beat la kufa mtu... wapita njia wansikai sauti za beat ile ya Simama, chuchumaa piga kichura... Basi walijuwa wanaruka kichura mbaya kabisa. Askari nao kama walikuwa wanapenda zile kelele zetu maana walikuwa wakimaoiza tu kushusha yule aliyekaidi kusimama au alitembea dak kadhaa baada ya filimbi kulia na alisimamishwa na kelele zetu za beat alikuwa anaingizwa getini mwao na kuanza upya kuruka vichura!!

Wenyewe tulikuwa tuna enjoy kinoma maana time hizo watu ndo walikuwa wanafanya time za kurefresh hata kama walikuwa wanakomaa na book!
 
Wanajeshi wetu nao hawana tofauti na mbwa ,reasoning zero.

Unavuta nywele za mdada ili iweje ? roho za Kichadema hizi
Akili za hawa walinzi ni sawa na akili za maCCM
 
Wajeda wengi ni failures, samahani tu kwao lakini hawana reasoning wale watu.

Nilikamatwa pia 2012 upande wa ufukweni, ilikuwa kama saa 12 jioni hivi. Kidogo nidhalilishwe, niliobahatika tu kukutana na mjeda anajitambua.
Sio kujitambua tu wewe hukuwa na wenge na hicho ndicho kilichokuponya
 
Alitaka kumtumia picha Mange ili wafanye umbea
 
Pole mama ! Ningekushtua haa
 
Afu mbaya zaidi, mi nilimuona kama ananiita ila nikapotezea, kwa vile nilikuwa naongea na simu...nilipoona ananikimbilia hahaha ndo na mi kushtuka nakaribia getini. Jamani...akaanza nifokea nakuita unakataa, hujui masharti ya eneo hili...leta simu, ulikuwa unaongea na nani...kwakweli sikumjibu kitu nilikuwa pazzled maneno hayapo mdomoni. Nilipoyapata sasa hahaha hatari.
Pole mama ! Ningekushtua haa
 
Wananchi wanapelekwa kama makondoo na hawana pa kulalamika
 
Unafikiri kwanini Wanatuita manyani ya dark continent....!??

Ni kwasababu ya ujinga na upuuzi wetu. We mtu kuna kibao cha kukataza kupiga picha, honi, n.k. lakini bado utakuta mtu anapiga picha au honi, sasa unategemea nini?
Mtaburuzwa na kurushwa vichura sana
 
Mleta mada yeye alichotaka kusema ni askari wanyarwanda nchi hii ni yetu sote unapoleta hbri za uchochezi ili damu imwagwe kumbuka kua hta damu yako pia inaweza ikamwagika,
 
Wakati Mo anatupwa pale uwanjani, hawa Wanyarwanda walikuwa wapi?
 
Nimekudharau kweli kweli kwa ule utetezi wa kipuuzi ulioleta hapa siku ile. Hivi ni kweli huwezi kuishi kama sisi wanaume wenzako mpaka ujipendekeze?
Kawaida hata siaa ulimdharau!
 
Huu in unyanyasaji ndani ya nchi yako unafanyiwa vitendo kama hivyo .this is very wrong!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…