Mwanafunzi wa sekondari Nganza asema viongozi wanashindwa kutekeleza mipango ya nchi kwa sababu ya kukosa uzalendo

Mwanafunzi wa sekondari Nganza asema viongozi wanashindwa kutekeleza mipango ya nchi kwa sababu ya kukosa uzalendo

Sijaona tusi hapo, shida viongozi wetu wanajivika umungu mtu, wanataka wawe untouchable.

Na nyie machawa walamba makalio ndio wabaya zaidi.
 
Mtoa mada niiii.....
Screenshot_20230805-214841.jpg
 
Binti mdogo tumpe moyo tusimsakame ili aweze kujiamini
Ameelezea anavo fikiri hata kama hujapenda
Hata kama kakosea ana muda wa kujifuza na kurekebika akajenga hoja nzito
Mnawaza mtumie NECTA wamfelishe tena?
Mara anakula chakula cha samia bure
Sio kweli binti yuko pale shule alishinda mtihani hakubebwa anakula kodi zetu watanzania Samia hampi chakula cha bure
 
Binafsi nafikiri tuwe tu na tabia ya kusikiliza mawazo ya watu wengine ambapo tunaweza kuyapuuza kama hatuyahitaji na sio kila kitu kushikia bango...
Hata kama angetukana ni sawa tu.

Tatizo letu si watu kutukana, tatizo letu watu hawatukani vya kutosha.

Kwani serikali hii haistahili kutukanwa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtoto kumtukna MTU mzima ni Sawa??
Kama mtu mzima anastahili kutukanwa ni sawa tu.

Tena mtoto anayekaa na mtu mzima anayestahili kutukanwa, halafu mtoto asimtukane huyo mtu mzima ovyo, huyo mtoto atakuwa anafanya kosa la nidhamu ya kinafiki.
 
Hivi Mkuu, kwako wewe matusi ni nini? Kikamusi, tusi ni nini? Hapo huyo mwanafunzi ametukanaje?

Kwanini mnapenda kuwa wachochezi na kutaka kuharibu maisha ya wengine kwa mambo ya ajabu?

Hivyo vyama vyenu vya kisiasa visiwapofue. Pathetic!
Utashangaa huyu mtoto anafwata na vyombo vyetu vya usalama, na mabunduki na kwenda kuwekwa chumba cha peke yake, akihojiwa nani kakutuma.

Atatishwa na kupewa masharti ya kuisifia serikali.

Tupo nchi ya kusadikika.
 
Huyu student Angekuwepo enzi zile za kuimba kwaya polepole anatumwa ampelekee Milion 10.
 
Viongozi wakitukana na mwanafunzi akatukana tumuue nani tumuache nani?

Kinana alitukana hadi akamwomba Magufuli msamaha.

Nape alitukana Magufuli hadi leo hajapata hekima ya Kinana ya kuomba msamaha.

Januari alitukana Magufuli hadi leo hajapata hekima ya Kinana ya kuomba msamaha.

Tundu Lissu aliwatukana Kikwete, Magufuli na Samia leo kapata hekima ya Kinana lakini ya kwenda kutengeneza na kaburi la Magufuli hata kama alizuiwa kufika Kijijini Mlimani Chato lakini dhamiri yake ilitengeneza na kaburi huko huko alikoruhusiwa na vyombo kufika Chato.

Mchungaji Mtikila aliwatukana Nyerere, Karume, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, aliogopa kumtukana Magufuli na Aprili 21, 2021 akatangulia.

Nyerere aliwatukana rais Mwinyi, rais Salmin, Oscar Kambona, Prof. Babu, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Abdullah Kassim Hanga, Mpigania uhuru Bibi Titi Mohammed hadi kaenda kufia ugenini, Tuntemeke Sanga, Balozi Kassanga Tumbo, Prof. Machunda, alimcharaza viboko 12 Waziri wa Sheria (na Chifu wa Unyanyembe) Alhaj Abdalah Said Fundikira, aliwatukana rais Idd Amin, rais Kamuzu Banda, Waziri Mkuu wa Uingereza Margaret Thatcher (mwanamke wa chuma), rais Pik Botha, Ian Douglas Smith rubani wa ndegevita mkulima na Waziri Mkuu wa Rhodesia ya Kusini, Mpigania uhuru Joshua Nkomo nk nk je, tungemnyonga Nyerere?

Matusi ya kwenye siasa hayamdidimizi mtu yanamuinua mtu na kumtambulisha kwa wigo mpana:

"You're never as good as everyone tells you when you win, and you're never as bad as they say when you lose, Lou Holtz"

"The dread of criticism is the death of genius, William Gilmore Simms"

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kama mtu mzima anastahili kutukanwa ni sawa tu.

Tena mtoto anayekaa na mtu mzima anayestahili kutukanwa, halafu mtoto asimtukane huyo mtu mzima ovyo, huyo mtoto atakuwa anafanya kosa la nidhamu ya kinafiki.
Maelezo haya yanajibu swali la mkuu sumbai[emoji116]

Kizazi kipi tunaongelea? Hiki? Kama ni hiki basi ni:

Kizazi kipya kabisa chenye metric brain kisichofurahia madaraja ya maisha (stations of life).

Kizazi ambacho ni ngumu kukishawishi kwa hoja na mabavu, kizazi kilichotangulia kufarakana na woga kikaambatana na ujasiri.

Kizazi kilichokuzwa na filamu za Magharibi za makabiliano badala ya za wahubiri wakubwa duniani, hivyo wamekariri kuwa amani inapatikana kwa ncha ya upanga badala ya misahafu.

Kizazi kisichosoma vitabu vya misahafu na vya uzalendo bali movie za medani (vita) za akina:-

1. Rambo.

2. Brad Pitt (Seven Years in Tibet 1997).

3. Kirk Douglas (In Harm's Way 1965).

4. Charles Bronson (Hell Broke Loose 1958).

5. Cillion Murphy (The Wind that Shakes the Barley 2004).

6. Wilhelm Dafoe (Vietnam War trilogy - Platoon 1986).

7. Daniel Washington (Courage Under Fire 1946).

8. Sean Penn (Casualties of War 1989 na The Thin Red Line 1978).

9. Ralph Fiennes (Schendler's List 1993 na The English Patient 1996).

10. Mark Wahlberg (Lone Survivor 2013).

11. Eric Bana (Black Hawk Down 2001 na Troy 2004).

Kizazi hiki kinajiuliza kesho yao na vizazi vyao itakuwaje? Kwamba waendelee kulinda utoroshaji wa rasilimali alafu kesho watajibu nini kwa vizazi vyao? Wakikosa majibu wanayatafuta kwa plan B.

Taifa litengeneze mtaala wa somo la Maadili ili kuondoa matusi na ufisadi wa mali za umma.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Binti mdogo tumpe moyo tusimsakame ili aweze kujiamini
Ameelezea anavo fikiri hata kama hujapenda
Hata kama kakosea ana muda wa kujifuza na kurekebika akajenga hoja nzito
Mnawaza mtumie NECTA wamfelishe tena?
Mara anakula chakula cha samia bure
Sio kweli binti yuko pale shule alishinda mtihani hakubebwa anakula kodi zetu watanzania Samia hampi chakula cha bure
Kweli kabisa...

Angesifia tungemsakama pia?

Vijana wa TANU Youth League walitukana wakoloni na bosi wao Sir Richard Gordon Turnbull. Unajuwa vijana hao ndiyo viongozi wa Tz leo? Wako serikalini na kwenye vyama vya siasa.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Wale waliozoea kuita watu sukuma gang vijana wao waone wanachosema kuhusu hayati Dr. john pombe magufuli juu ya uongozi wake uliotukuka mara nyingi nawaambia acheni siasa za maji taka sasa hao hapo vijana wenu muwafundishe sasa na wao waseme sukuma gang ! ligacy ya jpm inajilinda yenyewe kutokana na utendaji wake uliotukuka.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Back
Top Bottom