Viongozi wakitukana na mwanafunzi akatukana tumuue nani tumuache nani?
Kinana alitukana hadi akamwomba Magufuli msamaha.
Nape alitukana Magufuli hadi leo hajapata hekima ya Kinana ya kuomba msamaha.
Januari alitukana Magufuli hadi leo hajapata hekima ya Kinana ya kuomba msamaha.
Tundu Lissu aliwatukana Kikwete, Magufuli na Samia leo kapata hekima ya Kinana lakini ya kwenda kutengeneza na kaburi la Magufuli hata kama alizuiwa kufika Kijijini Mlimani Chato lakini dhamiri yake ilitengeneza na kaburi huko huko alikoruhusiwa na vyombo kufika Chato.
Mchungaji Mtikila aliwatukana Nyerere, Karume, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, aliogopa kumtukana Magufuli na Aprili 21, 2021 akatangulia.
Nyerere aliwatukana rais Mwinyi, rais Salmin, Oscar Kambona, Prof. Babu, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Abdullah Kassim Hanga, Mpigania uhuru Bibi Titi Mohammed hadi kaenda kufia ugenini, Tuntemeke Sanga, Balozi Kassanga Tumbo, Prof. Machunda, alimcharaza viboko 12 Waziri wa Sheria (na Chifu wa Unyanyembe) Alhaj Abdalah Said Fundikira, aliwatukana rais Idd Amin, rais Kamuzu Banda, Waziri Mkuu wa Uingereza Margaret Thatcher (mwanamke wa chuma), rais Pik Botha, Ian Douglas Smith rubani wa ndegevita mkulima na Waziri Mkuu wa Rhodesia ya Kusini, Mpigania uhuru Joshua Nkomo nk nk je, tungemnyonga Nyerere?
Matusi ya kwenye siasa hayamdidimizi mtu yanamuinua mtu na kumtambulisha kwa wigo mpana:
"You're never as good as everyone tells you when you win, and you're never as bad as they say when you lose, Lou Holtz"
"The dread of criticism is the death of genius, William Gilmore Simms"
Sent from my SM-A260F using
JamiiForums mobile app