Mwanafunzi wa sekondari Nganza asema viongozi wanashindwa kutekeleza mipango ya nchi kwa sababu ya kukosa uzalendo

Mwanafunzi wa sekondari Nganza asema viongozi wanashindwa kutekeleza mipango ya nchi kwa sababu ya kukosa uzalendo

Wale waliozoea kuita watu sukuma gang vijana wao waone wanachosema kuhusu hayati Dr. john pombe magufuli juu ya uongozi wake uliotukuka mara nyingi nawaambia acheni siasa za maji taka sasa hao hapo vijana wenu muwafundishe sasa na wao waseme sukuma gang ! ligacy ya jpm inajilinda yenyewe kutokana na utendaji wake uliotukuka.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2710637
Huyu hajui lolote acheni bint asome mnataka kumharibia kwa kutafuta sifa za kisiasa, anajua ufisadi wa JPM ukatili wake wskati huo huyu bint alikua darasa la sita alijua chochote kweli?
 
Kuna malaki ya wanafunzi, hebu tuletee na wengine nao tuwasikie badala ya huyo tu mmoja (ambaye hatujui kunani nyuma yake)
 
Huo ndio ukweli, viongozi wa nchi ni wezi wa Mali ya umma, hawa wazi maendeleo ya wananchi, wanawaza jinsi ya kufanya kubaki madarakani,
Ni wezi period!! Wanawafsnya wananchi maskini,
Wameua vyama vya ushirika, pesa yote inaenda kwenye mifuko binafsi!
Kagera inalima kahawa, bei ni ndogo balaa, Ila ukivuka boda kwenda Uganda, bei ni nzuri! Sasa waganda wanauza wapi ambapo TZ haipajuhi?
Dawa ya samia na CCM ni moja tu, pindua nchi, kamata,filisi Mali, pereka segerea, wakafie huko
 
Binti mdogo tumpe moyo tusimsakame ili aweze kujiamini
Ameelezea anavo fikiri hata kama hujapenda
Hata kama kakosea ana muda wa kujifuza na kurekebika akajenga hoja nzito
Mnawaza mtumie NECTA wamfelishe tena?
Mara anakula chakula cha samia bure
Sio kweli binti yuko pale shule alishinda mtihani hakubebwa anakula kodi zetu watanzania Samia hampi chakula cha bure
Kweli kabisa! Hawa machawa mandina wa Samia ndo wanaumia! Kuna kundi kubwa sana la Vilaza kazi yao kumtaja Samia hata kama yuko mbele ya Famila yake kana kwamba Samia ndo anatoa hela ya kuhemerea chakula au kukulipia kodi ya pango!
 
binti amenekumbusha mbali sana, nilikuwa mwanaharakati at 16 age, Miaka hiyo hata Mashuleni walimu na wanafunzi walinitambua. I was so vocal kwenye kuongea ukweli.
 
Huyu hajui lolote acheni bint asome mnataka kumharibia kwa kutafuta sifa za kisiasa, anajua ufisadi wa JPM ukatili wake wskati huo huyu bint alikua darasa la sita alijua chochote kweli?
Acha ujinga wako wewe pimbi! Ukatili kwa lipi nyinyi chawa wa huyu Samia kila anachofanya mnashangilia na kulamba makalio yake!
 
Neno uzalendo...kukosa uzalendo.hii sàsa ndio mada tufanyeje ili tuwe wazalendo.
 
Post hiyo clip tuone. Siyo unajudge tu. From your earlier posts inaonyesha wewe ni chama twawala. Maana kwenu kuambiwa ukweli ni matusi.
Nimejaribu kumsikiliza vizuri huyo mzungumzaji sikusikia maneno ambayo ni matusi kwenye msamiati wa kiswahili !!
Itabidi jamaa wa Bakita watufafanulie nini ni tusi na nini sio tusi ukitamka 🙏🙏😅😅 !
 
Back
Top Bottom