Mwarabu mlokole
JF-Expert Member
- Jul 8, 2023
- 231
- 386
Kwa JPM hata mawe yatasimama kumtetea.
Alikuwa kiongozi bora sana na kwa wakati muhimu.
Alikuwa kiongozi bora sana na kwa wakati muhimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pabaya wapi?Mnamwingiza huyu binti kwenye siasa zenu za maji taka, mtamuweka pabaya bure
Huyu hajui lolote acheni bint asome mnataka kumharibia kwa kutafuta sifa za kisiasa, anajua ufisadi wa JPM ukatili wake wskati huo huyu bint alikua darasa la sita alijua chochote kweli?Wale waliozoea kuita watu sukuma gang vijana wao waone wanachosema kuhusu hayati Dr. john pombe magufuli juu ya uongozi wake uliotukuka mara nyingi nawaambia acheni siasa za maji taka sasa hao hapo vijana wenu muwafundishe sasa na wao waseme sukuma gang ! ligacy ya jpm inajilinda yenyewe kutokana na utendaji wake uliotukuka.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2710637
Sasa wew mlokole nimekukosea nini asubuhi hii😂😂Pabaya wapi?
Mnafki mkubwa!
Mkuu nakuita upesiEbu ngoja tuone...😊
Kweli kabisa! Hawa machawa mandina wa Samia ndo wanaumia! Kuna kundi kubwa sana la Vilaza kazi yao kumtaja Samia hata kama yuko mbele ya Famila yake kana kwamba Samia ndo anatoa hela ya kuhemerea chakula au kukulipia kodi ya pango!Binti mdogo tumpe moyo tusimsakame ili aweze kujiamini
Ameelezea anavo fikiri hata kama hujapenda
Hata kama kakosea ana muda wa kujifuza na kurekebika akajenga hoja nzito
Mnawaza mtumie NECTA wamfelishe tena?
Mara anakula chakula cha samia bure
Sio kweli binti yuko pale shule alishinda mtihani hakubebwa anakula kodi zetu watanzania Samia hampi chakula cha bure
Acha ujinga wako wewe pimbi! Ukatili kwa lipi nyinyi chawa wa huyu Samia kila anachofanya mnashangilia na kulamba makalio yake!Huyu hajui lolote acheni bint asome mnataka kumharibia kwa kutafuta sifa za kisiasa, anajua ufisadi wa JPM ukatili wake wskati huo huyu bint alikua darasa la sita alijua chochote kweli?
Nimejaribu kumsikiliza vizuri huyo mzungumzaji sikusikia maneno ambayo ni matusi kwenye msamiati wa kiswahili !!Post hiyo clip tuone. Siyo unajudge tu. From your earlier posts inaonyesha wewe ni chama twawala. Maana kwenu kuambiwa ukweli ni matusi.
Ukiwa na tamaa ya kupata mali katika Nchi hizi zetu zinazoitwa masikini basi Uzalendo utausoma kwenye vitabu !!Neno uzalendo...kukosa uzalendo.hii sàsa ndio mada tufanyeje ili tuwe wazalendo.
Marehemu Thomas Sankara alipata kusema hakuna awezaye kuua mawazo ya mtu au watu !! Bali unaweza kumfanya chochote mtu aliyetoa mawazo yake !!Msimsumbue huyu binti ana mawazo ya maana sana kwa taifa
Hii ni kwa wenye akili ndio watakuelewa !!Nafikiri wanaona Magufuli anatolewa mfano badala ya Hangaya! Ila hawajiulizi kwanini Magufuli ambae alishafaruki miaka 2 iliyopata?