Mwanahabari Erick Kabendera akamatwa na Polisi nyumbani kwake; yadaiwa anaendelea na Mahojiano

H
Vodacom Siyo Mtandao huu
Mkuu hilo swala lipo kwenye sheria zetu kuwa serikali inauwezo wa kuomba mawasiliano yoyote yale ya mwananchi iwe sms ama sauti kama yatahatarisha amani ya nchi.

Na unaambiwa Tanzania ndio nchi inayoongoza Afrika kufuatilia wananchi wake kwenda mawasiliano.

Tatizo sio Vodacom ni sheria zetu....
 
Kashepewa umarufu usio wa lazima, we have very weak think tank behind decision makers, hapa nawalaumu TISSS moja kwa moja. Ipo namna nyingine na sio huu upuuzi unaopewa nafasi kwa kasi.
 
Musiba yuko kazini atakuwa anacheka mpaka gego la mwisho linaonekana.
 
HII JAMBO NDILO LINAFANYIKA HAPO RWANDA NA UGANDA, na ukiona sasa imefika hapa kwetu ni wakati sasa kujihami na kupambana na huyu adui wa awamu ya 5,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…