Mwanahabari Erick Kabendera akamatwa na Polisi nyumbani kwake; yadaiwa anaendelea na Mahojiano

πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ‘„πŸ‘„πŸ‘„πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄
 
Hahaha iko siku watanogewa watamteka mke mkubwa hahaha Darisalama hakuta lalika mpaka apatikane.
 
Kwa nini kila anayekamatwa munaripoti ni watu wasiojulikana? Kuweni na subira maana naona muda kidogo tunaambiwa yuko polisi. Kwani polisi hawatakiwi kumkamata mtu? Imekuwa ni kukimbizana kuripoti sijui tunamuwahi nani!
Namna ya ukamataji. Watu sita na bunduki! Wakati huyo ni mtu ambaye hata angetumiwa ujumbe angefika kituoni. Hatuna polisi bali zama hizi ni hao wasiojulikana.
 
Aseee,wewe ndo mange nini,kwa hii essay ukiwa hauna hata mahusiano nae ntashangaa kweli na uzee wangu huu
 
Vodacom wamevunja sheria za mawasiliano za kitaifa na kimataifa.
wanavujisha siri za wateja na mazungumzo.
mtu akitaka siri zako, mkeo na mazungumzo yenu anapata, wachilia mbali mabenki yanampa jiwe taarifa za akaunti ya kila mtu.
salama yako ni kujiunga tweeeter, fb na insta, piga watsup call, VUNJA LINE YA VODA, basi
 
..lakini huku bado kina Pengo, mufti, Malasusa, nk wanaendelea kuwapigia makofi hawa watu!
praise team inanufaika na mumo, wana ccm wengi pia wananufaika, hata nduguze huyu jamaa waliopo ccm bado tu wanaimba iyena iyena, hii nchi Mungu mwenywe aje kutukomboa
 
wewe ni mgeni insta na siasa hujui.
yule ni model, mrembo na si mwanasiasa,
alipiga siasa baada ya jiwe kumzingua kwenye mambo yake binafsi.
alosema mwenyewe baada ya watu kugomea maandamano anaaacha siasa, kaacha eti kahongwa, akirudi utasema hela imeisha, pumbav sana wewe
 
Kwani hayo maajabu yameanza leo? Naamini iko siku tutaongea lugha moja.
Uovu ni uovu na kamwe sijawahi kuutetea! Jema nalisema na ovu nalikemea na hii ni tofauti na nyie wafia vyama ambao mnataka yasemwe mabaya tu ndio uonekane kamanda!

Hili la kutekana ni uovu na itabakia hivyo. Kutumia uovu kwasababu yoyote ile daima ina mwisho mbaya.
 
Mbona aliendaga kuchukua form ya ubunge kama sio mwanasiasa
 
Kumbe kakamatwa mbona mlitudanganya kuwa ametekwa?? Yaani siku hizi JF limekuwa jukwaa za uongo uongo!!
 
ni maagizo toka Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA.

Kabendera ni mwandishi wa habari za uchunguzi kwenye magazeti mbalimbali pamoja na gazeti la Africa Confidential linalochapishwa nchini Uingereza.

 
Wacha tuwaulize hao wasiyo julikana watujibu
Waandishi wa habari ni watu hatari sana wakitumia kalamu zao vibaya. Hata hii habari ya Kabendera, kuna media wametangaza eti ametekwa, amekamatwa,amechukuliwa na wengine eti amepotea. Waandishi wengi wanaandika huku wenyewe tayari wameshachagua upande. Sio kwa weledi bali kwa mihemko.
 
Ukiachana na hili la kuvuja sauti za kina Nape, Membe, Kinana na wengineo nimeshtushwa na kutekwa kwa mwanahabari za kiuchunguzi Erick Kabendera. Taarifa zinasema alizimiwa mawasiliano kabla ya kutekwa kwake na walipowapigia Voda kwa namba nyingine kujua sababu waliambiwa wameamriwa kuzima mawasiliano na mamlaka ya mawasiliano TCRA...Wapi tunakwenda kwa style hii? Hate sauti za kina Membe, Nape, Makamba Jr na Sr na wengineo hazikupaswa kuletwa kwetu baadala yake zingepelekwa kwa mamlaka husika kwa ajili ya hatua Zaid na sio kuzidisplay kwetu. Madhara ya hayo myafanyayo TCRA ni makubwa Sana kwa taifa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…