MwanaHalisi: Deni la Taifa lakadiriwa kuongezeka na kufikia Trilioni 104

Mi sijui mwesho wa haya mambo utakuwaje! Tuna lundo la madeni lkn ukiuliza nini tumefanyie hizo hela huwezi pewa jawabu.

Una deni gani wewe, ungekuwa na madeni ungekaa unapiga porojo, kubwabwaja na kuhororoja hovyo JF?
 
tuzo za kuruhusu wizi wa Tanzanite
 
Marekani inaweza kopa milele bila shida kwa kuwa wanakopa kwa currency yao , huku yunakopa ba dollar tukitumia shillingi , kasome economics kabla ya kuandika utopolo .
UK ,South africa nk wanapitia debt distress na tujifanye haiwezi tufikia ????
 
Umeangalia lini mwisho interest rates za FED ???walikopa at 0 -0.50 % ,saizi ipo 5 -7 % as per socereign debt na ukichunguza keenly risk portfolio ye2 ipo juu kidogo kwa hyo rates zitakuwa juu kiasi kama nchi zote afrika.
Hyo liberal thinking eti as long as cost of borrowing ipo chini itastimulate economy in the long run ni false narrative ambayo nchi kama argentina , sri lanka inetufunza nayo . Deni ni deni tu lazima ilipwe in foreign currencies ambazo hatuna .
 
Marekani inaweza kopa milele bila shida kwa kuwa wanakopa kwa currency yao , huku yunakopa ba dollar tukitumia shillingi , kasome economics kabla ya kuandika utopolo .
UK ,South africa nk wanapitia debt distress na tujifanye haiwezi tufikia ????
EU kila raia anadaiwa DOLA 31,100....
 
Ujinga wako hauwezi kukoma mpk uingie kabulini.ni hasara kwa wazazi na familia yako
 
Kwa hiyo unataka kusemaje?,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…