Mwanajeshi ajinyonga, aandika ujumbe kwa mke wake "Naomba uwatunze watoto nimejitahidi nimeshindwa"

one man down kiukwel askali jeshi wengi hasa junior officer wanapitia maisha ya stress sana ni vile tu hawafunguki na kuji exposed kama ma ticha
 
Kwa akili yako, huyo jamaa ni kichaa, hajielewi?? Kwako wewe unadhani kila tatizo linatatuliwa kwa msaikolojia??

Mengine acheni ujuaji, kama amevumilia mpaka ameshindwa huoni kama amejaribu kutumia akili zake katika kukabiliana na hiyo hali na ameshindwa??

Nyie ndio wapumbavu ambao mshkaji wako ana hustle na una njia ya kumsaidia chochote lkn kazi yako ni kusema muombe mungu atakusaidia, yeye ale nini matako ya huyo mungu??
🚮mbona alichoandika hiyo hapo juu ni cha kawaida sana na inajulikana? Punguza stress mkuu...hajakashifu ..ameongea facts..bye
 
Jamaa usikute alikuwa na Depression, anxiety, PTSD, etc. Mental health is real.

Kila mtu ana some sort of depression, stress etc it's called life na sio wote wanajiua. Mental illness is taken as an excuse for everything nowadays. Romanticization of mental illness.
 
Kwa akili yako, huyo jamaa ni kichaa, hajielewi?? Kwako wewe unadhani kila tatizo linatatuliwa kwa msaikolojia??

Mengine acheni ujuaji, kama amevumilia mpaka ameshindwa huoni kama amejaribu kutumia akili zake katika kukabiliana na hiyo hali na ameshindwa??

Nyie ndio wapumbavu ambao mshkaji wako ana hustle na una njia ya kumsaidia chochote lkn kazi yako ni kusema muombe mungu atakusaidia, yeye ale nini matako ya huyo mungu??
Pole kwa changamoto,maana sio kwa kelele hizo!!!!.Amini matatizo ya akili huanza kidogo kidogo kama hivyo ulivyoandika.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Haya maisha yanakwenda kasi sana mazee! Bila utulivu WA kisaikolojia Kwa kuwa msaada wa kiuchumi umegonga mwamba, wengi watajinyonga
 
Hakunaga washauri wa kisaikolojia Jeshini?

RIP soja wetu
Sasa mkuu utaenda kujieleza kwa wafanyakazi wenzio kwamba una tatizo fulani na fulani halafu baadae wakikaa bar wanaanza kuhadithiana "ebwanaaee unamjua yule jamaa wa KJ### ebana mke wake analiwa na captain ###" hahahaha ni ngumu sana bora ukashauriwe na watu wa taasisi ingine kabisa...😂😂😂😂
 
Kwa hiyo suluhu ya kujitundika imekuwa sahihi?
 
Back
Top Bottom