Mwanajeshi ajinyonga, aandika ujumbe kwa mke wake "Naomba uwatunze watoto nimejitahidi nimeshindwa"

one man down kiukwel askali jeshi wengi hasa junior officer wanapitia maisha ya stress sana ni vile tu hawafunguki na kuji exposed kama ma ticha
 
🚮mbona alichoandika hiyo hapo juu ni cha kawaida sana na inajulikana? Punguza stress mkuu...hajakashifu ..ameongea facts..bye
 
Jamaa usikute alikuwa na Depression, anxiety, PTSD, etc. Mental health is real.

Kila mtu ana some sort of depression, stress etc it's called life na sio wote wanajiua. Mental illness is taken as an excuse for everything nowadays. Romanticization of mental illness.
 
Pole kwa changamoto,maana sio kwa kelele hizo!!!!.Amini matatizo ya akili huanza kidogo kidogo kama hivyo ulivyoandika.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Haya maisha yanakwenda kasi sana mazee! Bila utulivu WA kisaikolojia Kwa kuwa msaada wa kiuchumi umegonga mwamba, wengi watajinyonga
 
Hakunaga washauri wa kisaikolojia Jeshini?

RIP soja wetu
Sasa mkuu utaenda kujieleza kwa wafanyakazi wenzio kwamba una tatizo fulani na fulani halafu baadae wakikaa bar wanaanza kuhadithiana "ebwanaaee unamjua yule jamaa wa KJ### ebana mke wake analiwa na captain ###" hahahaha ni ngumu sana bora ukashauriwe na watu wa taasisi ingine kabisa...😂😂😂😂
 
Kwa hiyo suluhu ya kujitundika imekuwa sahihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…