naona watu wa forensic hamko mbaliHapo kitu cha kwanza ni kuangalia kama mwandiko ni wake au lah. Cha pili ni kufuatilia simu yake na tatu kumchukua maelezo mkewe kuhusu tabia na mwenendo wake na alikuwa anasumbuliwa na nini
Mwandiko unaweza kuwa wake lakini kaandika kwa maelekezo chini ya ulinziHapo kitu cha kwanza ni kuangalia kama mwandiko ni wake au lah. Cha pili ni kufuatilia simu yake na tatu kumchukua maelezo mkewe kuhusu tabia na mwenendo wake na alikuwa anasumbuliwa na nini
Nakazia.Huyo kauawa, huo ujumbe haumake any sense, ni decoy tu. Uchunguzi ufanyike
Haipo hiyo.Yani ujinyonge/ujiue halafu upate heshima ya kijeshi!Lazima aagwe kijeshi acha kudanganya
Kuna watu huwa wanaandikishwa ujumbe na wosia wa mali zao at gun point, na wanasheria njaa kama yule wa Klynn wanapewa mgao na kugonga mhuri. Nothing should be taken for granted, wachunguze hasaYeah!, nilitaka kusema kwamba, wamehakikisha huo mwandiko wa kwenye ujumbe ni wake? Pakuanzia ni hapo kwanza. Mauaji mengi yanasakiziwa suicide.
Inaonenaka hata nilichokiandika hujakisoma...mstari wa wapili kutoka mwisho na huo wa mwisho suluhisho nimeliandika...Kwa hiyo suluhu ya kujitundika imekuwa sahihi?
Sawa,Hawa Askari wenu fake muwe mnawafundisha saikolojia ya kukabiliana na msongo wa mawazo..Askari wa jeshi la Wananchi la Tanzania aliyetambulika kwa jina la William Chacha Giriago mwenye umri wa miaka 40 amekutwa amefariki kwa kujinyonga.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, RPC Martin Otieno amesema mtu huyo amejinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali yake aliyokuwa ameufunga kwenye nondo ya dirisha ya nyumba ya kulala wageni iitwayo Morning Star Lodge iliyopo Mtaa wa Hazina Jijini Dodoma.
RPC. Otieno amesema tukio hilo limetokea Septemba 6, 2022 na baada ya kupekuliwa mwili wa marehemu ulikutwa na meseji mbalimbali mmoja wapo alimuandikia "Mama yangu nisamehe sana nakuomba".
Ujumbe wa pili amemuandikia mke wake umesomeka "Kwako Mama Derick nisamehe sana kwa maamuzi haya, maisha kwangu hayana maana tena ,nisamehe sana nimejitahidi nimeshindwa naomba uwatunze Watoto."
Unarudi pale pale kwenye mockery.Inaonenaka hata nilichokiandika hujakisoma...mstari wa wapili kutoka mwisho na huo wa mwisho suluhisho nimeliandika...
Wewe jamaa huna hurumaKaacha kiasi gani cha kuwatunza hao watoto ?
Huku ndio kuchuma janga ili ukale na wa kwenu
Ila isijekuwa watu wamepitia hapo kufanya murder na kui-pose kama kujiua !!!!
Wewe inakuingia akilini hiyo? Uchunguzi ufanyike na hapo pia..Unampa nafasi shetani,anakufungafunga,inafikia mpaka mahali unashindwa kuchomoka,na kwakuwa hukuamua kumtumainia Mungu,unakata tamaa kabisa ya maisha na huoni tena maana ya kuishi.Hii ni case ya pili nilioisikia mimi ndani ya mwezi huu Septemba,mmoja ni mfanya biashara mwenye uwezo tu, amejinyonga kisa amekuwa na madeni mengi,huyu naye ni wa pili issue ni kama inafanana..
Wanafanya kazi kubwa ipi?Mental health is important,so sad,waongezewe mishahara wanafanya kazi kubwa hawa!