Sijui maisha yatakuwaje.
Mungu mwenyewe anatengeneza njia.
Namshukuru Mungu kwa maisha ya baba japo naona amemchukua mapema mno.
At my early 20's kuondokewa na mzazi ni pigo kubwa mno.
Mungu wa Mbinguni na awe faraja yako kwenye kipindi hiki kigumu unachopitia😭🙏🙏Amen akhsante [emoji24].
Moyo wangu unavuja damu mno[emoji174]
Kazi ya Mungu, usiwaze sana ndugu Mungu aendelee kuwatunzaNahisi naota ila siyo ndoto.
Kweli baba hayupo[emoji24]
Akhsanteni,
Mungu awabariki.
Pole sana Anne.Maumivu ni makali mno[emoji119].
Napokea maombi yako[emoji120][emoji120]
Pole mama watoto😔😇Amen[emoji24][emoji120]
Mungu huwa hakosei.
Ila ameniumiza mno,,hakutaja japo kunusikiliza maombi yangu[emoji24]
Ndaga kalumbuAmen[emoji24][emoji120]
Mungu akutie nguvu maana najua tusio na baba yapi tumepitia mpka hapa tulipo ila tunaishia kusema MUNGU ndio mpangaji wa yoteSijui maisha yatakuwaje.
Mungu mwenyewe anatengeneza njia.
Namshukuru Mungu kwa maisha ya baba japo naona amemchukua mapema mno.
At my early 20's kuondokewa na mzazi ni pigo kubwa mno.
Mungu akusaidie zamani tulikua tunakuja Hii misiba sasa huu wako sijui uko wapi tujeAmen[emoji24]
Ameondoka kiutani tu!
Dunia haina huruma kwangu[emoji24]
Aliemchukua amekwisha watengenezeeni njia Wala hamtakwama japo ya hapa na pale mtapita lakini mtafika salama, sisi wengine tuliachwa wazazi tukiwa na umri wa siku tu lakini tulivuka.Sijui maisha yatakuwaje.
Mungu mwenyewe anatengeneza njia.
Namshukuru Mungu kwa maisha ya baba japo naona amemchukua mapema mno.
At my early 20's kuondokewa na mzazi ni pigo kubwa mno.
Pole sana, miye ni miezi 4 karibia lkn hata namba zake naogopa kuzifuta nahisi km nampoteza kabisa.Amen[emoji24][emoji120]
Mungu huwa hakosei.
Ila ameniumiza mno,,hakutaka japo kunisikiliza maombi yangu[emoji24]
Pole dada, everything will be ok, endelea kumuombea.Yaani anne niliogopa as na mm nauguliwa na baba ..nilipiga picha.mpk leo haijaja! ..sitak kujua hizo experience...! Nikimkumbuka najipooza na wine kwanza...!
Nakuomba ujipe moyo😭😭😭😭!
Nb..ile namba haikua yako .nilipga akapokea men😒! Pole mdogo wangu!