Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
Mwanamke mpe PESA tu; hayo mengine uliyoyaandika kwa herufi kubwa ni PESA itakusaidia kuyafanya.Huu ni ukweli bila chenga kwamba mwanamke anataka VYOOOOTE
MAPENZI, CARE, ATTENTION, SIM NZURI, GARI ZURI, MUDA WAKO, KUBEMBELEZWA......
Mwaka anayaweza kwelikweli
Mwanamke mpe PESA tu; hayo mengine uliyoyaandika kwa herufi kubwa ni PESA itakusaidia kuyafanya.
[emoji3][emoji3]Ukiweza kumpa vyote anavyotaka hata usipompa pesa haina tabu[emoji28][emoji28]
Wewe tafuta pesa tuu
hahaha@BADILI TABIA !!!![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3]
[emoji3]Ukiweza kumpa vyote anavyotaka hata usipompa pesa haina tabu[emoji28][emoji28]
Ukimkuta mwanamke mzuri ukampenda pesa ndio iliyofanya umuone anakufaa. Sasa usije kumchukua alafu ukashindwa kum maintain akarudi kule alikotoka
Wewe tafuta pesa tuu
Mnataka kumzidi hata Mungu na shetani wao wanahitaji roho yako tuu.mengine peleka kwenuTunataka VYOTEEE
Halafu mbona kama unanifaa mama D ? [emoji848]Ukimkuta mwanamke mzuri na mrembo anaependeza kwa sura, mavazi na amani ya moyo ukaamua kumpenda unatakiwa ujue pesa ndio iliyofanya umuone anakufaa.
Wazazi wanamgharamia bila kulalamika hadi akawa hivyo, Sasa usije kumchukua alafu ukashindwa kum maintain ukamzeesha na kumchakaza akachoka akarudi kule alikotoka. Hapo ndipo unapoonekana hukuwa na utayari wa kubeba jukumu
[emoji3][emoji3][emoji3]jf jamaniUkute karogwa ila nae hajui!
hahaha
usicheke atiiiii
huu uzi na sie singo bati meridiiii unahusu????
[emoji23][emoji23]
Tumuulize mleta uzi mama D kama singo bat meridi wapo na nafasi yao humu au niaje!
Ukitafuta kipooza koo unaishi fresh tu yani!
Mnataka kumzidi hata Mungu na shetani wao wanahitaji roho yako tuu.mengine peleka kwenu
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Sasa natumaje wakati sina namba yako ya simu? Nataka nitume na ya mwanangu D kabisa [emoji3]Wewe tuma pesa tuu nitakuja mwenyeweeeee
Mradi ziwe pesa yaaani fweza haswa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
bila kipooza koo maisha magumu sana mjini hapa!!!![emoji23][emoji23]
Tumuulize mleta uzi mama D kama singo bat meridi wapo na nafasi yao humu au niaje!
Ukitafuta kipooza koo unaishi fresh tu yani!
hahahahUnahusu sanaaa
Heri kubadili gia angani kuliko kuBADILI TABIA kuwa kitu ambacho sio bora kama ulivyokua
Usinipopoe[emoji12][emoji12]
Mate yamejaa mdomoni ghafla[emoji23][emoji23][emoji23]bila kipooza koo maisha magumu sana mjini hapa!!!!
hahahah
sikupopoi
maisha tu...unajikuta paaap na tabia imebadilika ghafla [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]