Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Amekuona huna maana ndo mana akatoka na mwingine, miezi 3 hujala mzigo ilhali yeye anahitaji unafikiri nini? poleAisee hahaha na mim nicheke na niko na deep pain ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekuona huna maana ndo mana akatoka na mwingine, miezi 3 hujala mzigo ilhali yeye anahitaji unafikiri nini? poleAisee hahaha na mim nicheke na niko na deep pain ?
Kama kutokuwa na maana ni kutokumtomba basi wanawake hawaeleweki, kumbe ningemweka siku ya pili tu aisee hahahaAmekuona huna maana ndo mana akatoka na mwingine, miezi 3 hujala mzigo ilhali yeye anahitaji unafikiri nini? pole
Amekuona huna maana ndo mana akatoka na mwingine, miezi 3 hujala mzigo ilhali yeye anahitaji unafikiri nini? pole
Wee jamaa unafeli sana asee mwanamke akishakukubalia pale unapomtongoza basi anakua kashakubali kusex nawe muda wowote tu kama nafasi ipo yaani wewe tu umwambie na hatakushangaa coz wote wanajua universal/Prime purpose ya mwanamke kwa mwanaume ni kusex. Sasa wewe unakaa 3months unategemea huyo mwanamke atakuonaje?? Lazima atafute mwingine anayejua kazi ya mwanamke kwa mwanaume.kama kutokuwa na maana ni kutokumtomba basi wanawake hawaeleweki, kumbe ningemweka siku ya pili tu aisee hahaha
Msitufanyie hivo bana[emoji11]Ukitaka kuinjoi raha ya mwanamke just don't care and be Mkimya tu. Unaweza hisi una dawa ya kuwavuta[emoji28]
Kuna wivu fulani ni mzuri kuuonyesha kwa mpenzi wako na mwanamke hujisikia proud akikuona nao anajua unampenda kweli...ila ukiwa na wivu wa kumfuatilia kila anachofanya atakachokufanya utapendaUkimuonesha wivu mwanamke imekula kwako
Naichukua hii naiweka kwenye Notebook yangu.[emoji3578]Kuna wivu fulani ni mzuri kuuonyesha kwa mpenzi wako na mwanamke hujisikia proud akikuona nao anajua unampenda kweli...ila ukiwa na wivu wa kumfuatilia kila anachofanya atakachokufanya utapenda
KUDOS..Wee jamaa unafeli sana asee mwanamke akishakukubalia pale unapomtongoza basi anakua kashakubali kusex nawe muda wowote tu kama nafasi ipo yaani wewe tu umwambie na hatakushangaa coz wote wanajua universal/Prime purpose ya mwanamke kwa mwanaume ni kusex. Sasa wewe unakaa 3months unategemea huyo mwanamke atakuonaje?? Lazima atafute mwingine anayejua kazi ya mwanamke kwa mwanaume.
Usimuonee huruma mwanamke kwenye swala la mapenzi 🚶🚶🚶
Nakupinga.Ndiyo, katika mavazi bila kujali jinsia kila mtu anavaa aonekane kapendeza, ndio maana haununui nguo za aina moja tu hata kama unafanya kazi ofisini, yani ununue mashati 100 meupe, na suruali 50 za rangi moja labda dark blue. We dress to impress.
Ukipendeza tu lazima utake kutoka nje...
Endeleeni kutushobokea. TunapendaKwanini tusiwafanyie hivo?? Maana mkishobokewa Dharau zinawapanda
Kuna wivu fulani ni mzuri kuuonyesha kwa mpenzi wako na mwanamke hujisikia proud akikuona nao anajua unampenda kweli...ila ukiwa na wivu wa kumfuatilia kila anachofanya atakachokufanya utapenda
Naona tunafanana kiasi mimi hua mkimya kiasi hua naona aibu kuongea mbele za watu so mara nyingi nakua mwenyewe tu siongei pa bila sababu ya msingi japo kua watu nikiwa nao naongea kama nimekula pilipili. Halafu ni mtu fulani gaidi hivi yaani hakuna mwanamke anaweza kunibabaisha hisia zangu eti nianze kujipendekeza kwake zamani nilijua labda nina psychological problem ajili ya swala hili yaani nipende usinipende utajijua yaani sijali lolote kuhusu wanawake na sikuwahi tongoza maishani mwangu. Nikakutana na mbabe humuhumu mbona napata tabu sana🤣🤣 kweli hata uwe mjanja kuna mjanja zaidi yako...Yaani nisipoona hata comment yake nachanganyikiwa😞 Hata siamini kama ni gaidi mimi nimekua hivi, you know to how it hurts to love someone ambae hutakujampata eehMTOA MADA UKO SAHIHI 100%.
UKIACHANA NA HII KUWA NA PRIVACY inasaidia hata kwa maisha binafsi sana ukiachana na kuvutia wanawake ila hata life la kawaida inasaidia pakubwa.
Binafsi ili uwe na ukaribu nami basi usiwe muongeaji sana coz sipendi fujo au maneno mengi. Sipend mtu ajue mambo yangu never hata hapo kwenye paragraph najisikia vibaya kueleza hayo niliyoandika... Napenda sana kua mtu kaksi ila sura yagu hua inanifelisha maana muda wote niko kama nataka kucheka/natabasam. Sijawahi kua Serious usoni hata siku moja labda nikowa napiga picha tu..Hii inasababisha watu kunizoea haraka ila najiweka mbali nao coz sitaki kujuana juana na Watu.Sipendagi mtu mwenye maneno mengi mimi.
Mama angu mwenyewe huwa anaongea sana sipendagi kabsa. Ongea kidogo maongezi yaishe.
Mkuu me. Nilikuwa na mmoja au wawili walinitesa afu cha ajabu hao ndio niliopata kuwatongoza. Aiiii nililia kabisa ila baada ya kujua am alpha male nikasema nyambafu wameumbwa kwa ajili yetu acha nifanye issue nyingine.Naona tunafanana kiasi mimi hua mkimya kiasi hua naona aibu kuongea mbele za watu so mara nyingi nakua mwenyewe tu siongei pa bila sababu ya msingi japo kua watu nikiwa nao naongea kama nimekula pilipili. Halafu ni mtu fulani gaidi hivi yaani hakuna mwanamke anaweza kunibabaisha hisia zangu eti nianze kujipendekeza kwake zamani nilijua labda nina psychological problem ajili ya swala hili yaani nipende usinipende utajijua yaani sijali lolote kuhusu wanawake na sikuwahi tongoza maishani mwangu. Nikakutana na mbabe humuhumu mbona napata tabu sana🤣🤣 kweli hata uwe mjanja kuna mjanja zaidi yako...Yaani nisipoona hata comment yake nachanganyikiwa😞 Hata siamini kama ni gaidi mimi nimekua hivi, you know to how it hurts to love someone ambae hutakujampata eeh
Binafsi ili uwe na ukaribu nami basi usiwe muongeaji sana coz sipendi fujo au maneno mengi. Sipend mtu ajue mambo yangu never hata hapo kwenye paragraph najisikia vibaya kueleza hayo niliyoandika... Napenda sana kua mtu kaksi ila sura yagu hua inanifelisha maana muda wote niko kama nataka kucheka/natabasam. Sijawahi kua Serious usoni hata siku moja labda nikowa napiga picha tu..Hii inasababisha watu kunizoea haraka ila najiweka mbali nao coz sitaki kujuana juana na Watu.
Kuna faida nyingi sana maishani ukiwa si mtu wa kuongea na kuzoeana na watu hovyohovyo
Dawlia nataka maoni yako juu ya hili kama nitakua sahihi au la. You'll judge me opinion.
As i pitched that mwanamke anapenda kuona yeye ndio center of attraction ya mwanaume fulani twbia hiyo hupelekea pia mwanamke kutamani kuchukua mamlaka aliyonayo Mwanaume ndio maana utaona mwanamke anavaa suruali,Anajiweka kiume, ananyoa kiume, anatafuta dawa ili kumshika akili mwanaume, anataka haki sawa na mwanaume etc. Hiyo yote ili tu amfanye mwanaume kua submissive na yeye kua Dominant (Kwenye dini ya kiislam ni haram mwanamke kufanya mapenzi akiwa juu ya Mwanaume/Riding coz inamfanya Mwanaume kuongozwa na mwanamke wakati wa kufanya tendo Kisai safuher utanirekebisha hapa)
Cha ajabu sasa ikiwa mwanaume fulani akawa hana Voice of Command kwa mwanamke yaani anamuachia mwanamke kua na sauti kufanya yale ayapendayo mwanamke huyo huyo ataanza kumdaharau Mwanaume wake na kuona si mwanaume kamili, coz wanawake wanataka wanaume magaidi and Dominant to them coz wanajiona salama zaidi kua na mwanaume mkali na mkorofi kuliko kua na mwanaume mpole anayemuachia kufanya yale anayoyapenda.
Sasa Je ni kweli wanawake wana tendency hiyo ya kupenda Uanaume au ni sipo sahihi??
Lakini pia kwanini mkiachiwa hiyo nafasi na wanaume mnawaona si wanaume kamili tena! Mwataka nini hasa ninyi viumbe?? Yaani hamueleweki