B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,357
- 4,390
Me naamini ni hulka ya mtu tu wala sio kabila kwa ujumla...........Binafsi siamini hivyo.
Nimeishi na wapendwa wangu wadada wa kichaga,hayo yasemwayo Wala sikuyaona kwao.
Hata wao wakawa wanasema kuwa watu wa Mbeya huwa mnasemwa hivi,kumbe ni uongo.
YahMe naamini ni hulka ya mtu tu wala sio kabila kwa ujumla...........
Ukiona ivyo jua ni wenyeviti wa ukoo hao wanatafutaja hoja๐๐๐๐Yah
Kweli
Ila humu jf ukisema hivyo hawakuelewi..
Yaani wakianzisha mada ...wanavyoponda haya makabila[emoji1787]utashangaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiona ivyo jua ni wenyeviti wa ukoo hao wanatafutaja hoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiskia mawazo mgando ndo hayo yaani yameganda kweri kweri in hayati voice[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ivi tunatembea kwenye barabara zetu๐๐๐๐[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi tunatembea vifua mbereee
Nasema uongo ndugu yangu?
We are in the right track [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa ivi tunatembea kwenye barabara zetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ Saivi tunaenda kuipeleka mbingu uchumi wake kileleni.We are in the right track [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]mitano tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Saivi tunaenda kuipeleka mbingu uchumi wake kileleni.
Heri yako kama unajitambua kiasi cha kujua kutofautisha mapenzi na pesa. Kupewa pesa sio kigezo cha kupendwa ila ni hali ya kuonyesha concern tu japokuwa hufanyika kimkakati na matapeli wengi wa mapenzi ili kurubuni nafsi za watoto wa kike wenye kuwakwa na tamaa ๐!Mimi siamini katika kuomba omba.
Mtu akiona umuhimu wa kukupa atakupa,na mtu asije kaa akisubiri mimi nitamuomba...never.
Sema hii dunia kuna watu sijui wapoje,akishajua tu kuwa unampenda basi atakunyanyasa hadi ukome.
Pole sana na ndo maisha yenyeweKuonyesha tena huo upendo labda kwa mtu anayejitambua.
Ilinicost Sana aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siji rudia..nilihangaika mno kutoka.
Kumbe? Sasa mbona mimi sikutani nao? Maana kila ninaekutana nae ananikamua mpaka utumbo [emoji2][emoji2][emoji2]Nakataaa,wapo kaka tena wengi
Mmmh๐๐Kawaida ya waswahili ila sie smart niggaz huwa tuna show appreciation kwa more love ๐
Yeah, yan unaeza dataMmmh๐๐
Basi msituchoshe tunapowapendaa jamaniiYeah, yan unaeza data
Haitatokea michosho ukiwa katika mikono sahihi, shida ni kufall kwa tozi na player! Respect tha Geez and show them luv cause thats the only way to Happiness.Basi msituchoshe tunapowapendaa jamanii
Endelea kumuomba Mungu shetani asitie kidole chake hapo,kabla haijabadilika kuwa kinyume chake...Leo ndio nimeamini mwanamke akikupenda atakupatia zawadi na wala hatokua na shida na fedha zako.
Mwanamke mmoja mkali sana ameniletea zawadi Leo, nimefurahi sana hata usingizi hauji yaani. Tena akaniambia unastahili zaidi ya hivyo, nimebaki mdomo wazi.
Bado nawaza aise.
Nilichojifunza wanaume wengi hatukutani na wanaotupenda kwasababu hatujichanganyi katika mazingira yenye hao wanaotupenda.
Ni hayo tu.
Aya ya mwisho umevuruga kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heri yako kama unajitambua kiasi cha kujua kutofautisha mapenzi na pesa. Kupewa pesa sio kigezo cha kupendwa ila ni hali ya kuonyesha concern tu japokuwa hufanyika kimkakati na matapeli wengi wa mapenzi ili kurubuni nafsi za watoto wa kike wenye kuwakwa na tamaa [emoji16]!
Kwa level yako ya ufahamu binti kigoli kama wewe unastahili taji. Acha kuchezewa na wahuni njoo kwangu ule mema ya nchi[emoji16] utapendwa adi upate uchizi maana nina power bank ya upendo.